Tatizo hata wewe una shida ndio mana mama mkwe kaona mwanae hayupo sehemu sahihi na akaweza kuongea.
Inamaana mke haruhusiwi kwenda kusalimia kwao? Au ukishamuoa basi anakuwa hana uhusiano tena na kwao?
Kwanini msingekubaliana muende kote badala ya kumrudisha kwao kisha kataka kwenda kusalimia...
Imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho.
Cha kushangaza mwanamke anakula kwa jasho na anazaa kwa uchungu.
Majukumu yako hautekelezi ya kumfanya mke ua umlishe na kumpendezesha unalia lia tu eti ooh mnataka usawa gani.
Unaposema kwenye biblia inasema mwanaume ni...
Kiuhalisia siku hizi wamama wengi ni wataftaji so lazima watoke asubuhi na kurudi jioni., full housewife ni wachache sana.
Kuwa na yaya haiepukiki cha msingi ni kuwafunika watoto kwa damu ya Yesu.
Kama wewe ni mwanaume basi sio baba, na kama ni mwanamke sio mama.
Kama mkuu hajielewi mtoto wake anahusika nini hadi umwombee abakwe? ????
Wewe ndio walewale wapenda kutoa laana.
Mie huwa nashangaaga unagombana na mtu then unamtukania mama yako hivi kiuhalisia kosa la mama ni lipi huwa??? Sasa...
Wewe huna ndoa umeamua kutunga tu,
Na kama unawatoto huyo ni mzazi mwenzio tu na mlishachokana so unatafuta uhalali wa kubwagana,
Na kama kweli una ndoa basi ni ndoa changa Wewe mwenyewe akili changa na uliingia kwenye ndoa fasheni.
Huna hata chembechembe za kufaa kuwa mume bora labda bora...
Hahahaaa. ... mkisikia wake kuchepuka vinawauma kwelikweli,
Ila wanaume kuchepuka ni urijali.
Hahahaaa. .... ukigawa game nje lazima na yeye agawe game nje tuuu sabab hakuna namna nyingine
Ninakuhakikishia kipindi mkeo atakubaliana na wewe uwe na siri zako na mambo yako naye ameamua kuwa na siri zake na mambo yake.
Unawezafurahia mkeo amekupa uhuru unaoutaka kumbe loooh! Mwanamke ni zaidi ya umjuavyo.
Na mkeo akishajua kuwa umemgroup kama adui lazima akusaliti sabab hakuna namna nyingine.
Atendelea kuwa adui yako kwa siri halaf atakuwa Na protector wake na maisha yatasonga raha burudani.
Ukaguzi wa umoja wa mataifa (UN)
Ukaguzi huu serikali Ya Tanzania haitoi hata senti. Bajeti yake hutolewa na Bodi Ya ukaguzi Ya umoja wa mataifa(UNBOA) kwa nchi tatu ambazo zimechaguliwa kukagua agency za UN. Nchi hizo ni Tanzania, UK na India. Hivyo ofisi Ya ukaguzi Ya nchi husika hupewa hela...
Shida ni kuwa wengi wanasema kesi ya kutengeneza na wale watoto kubakwa sio kweli.
Kama kweli walibaka hukumu inawahusu, ila kama si kweli hukumu ni hapahapa huko mbele ni kufunga mahesabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.