Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Ukuaji wa mtoto hutegemeana na mambo mengi sana
Kitabia, kiakili, kimwili hata kiroho
Ukianza na tabia, mtoto hukua kutokana na tabia za muunganko wa pande mbili, na yamkni akatwaa moja ama zote, ukileta yaya una introduce ya tatu ambayo haimo miongoni mwenu kwa kuwa yeye ndiye yamkini anashinda na mtoto muda mwingi sana, ladhalika kiakili kimwili na hata kiroho kwani si aghalabu kuoata yaya mwenye akili imani au hata kimwili kwa matunzo ya mtoto kuliko wazazi wenyewe ipo kesi ambapo wazazi walikua salama ila mtoto akabainika ni HIV positive na walipizama sana ikagundulika yaya alihusika
pasipo na ulazima sana tusifanye uyaya kuwa kama fasheni kwani huenda madhara ni makubwa kuliko tija, nazungumza hivi kwa sababu utakuta wengi hatuna ulazima huo pasi na kujua kwamba ni madhara
kwa sasa hali imekua mbaya kwani kuna mayaya ambayo wameithishwa mambo mengi na hasa ushirikina usishangae na yeye akamrithisha mtoto wako