Huyu Ni Mtu aliyeacha kuiunga mkono CHADEMA baada ya Mbowe kushindwa Uchaguzi.
Kwa sasa yupo kazini kuwachafua Viongozi wa Chama chenu
Kuweni naye makinj
Tangu mwanzo ameonesha yupo Kinyume na Uongozi huu. Sio mtu mwema Kwa CHADEMA. Post zake kadhaa amekuwa akiwatukana Viongozi wa sasa wa CHADEMA.
Huwezi kuwa unatukana Viongozi Kisha ukasema upo nao pamoja. Yupo kwenye rekodi akitaka Lissu afungwe maisha. Je, huyu Mmawia anaitakia mema CHADEMA?
https://www.jamiiforums.com/threads/tumekabidhi-chama-kwa-watu-wasiojua-kuponya-majeraha-bali-kuongeza-majeraha-mpasuko-huu-ni-mkubwa-sana-siasa-za-kitoto-zimetufikisha-hapa.2325366/page-4#post-53366530
Hapa ndio utamsoma vizuri mtoa mada
Watu wengi hamjamwelewa Pascal Mayalla
Amepeleka ujumbe wa kumkejeli Kenani Kwa kumuita Kikaragosi na amefanya ku amplify hayo makosa kijanja sana na in a safe way kwake 😀😀😀.
Hapo katikati ametumia maneno ya kuiponda CHADEMA Kisha akaweka tena kuhusu Yuda na Kauli za Kichochezi za Viongozi wa...
Ukisoma Periplus of the Erythraean Sea, Kitabu Cha Wagiriki Cha Karne ya Kwanza, kulikuwa na Dolanya Azania mahali ambapo mto mkubwa unaingia bahati ya Hindi huku ukiwa opposite na Kisiwa Cha Menothius. Huu mto umeanzia mbali ambako Kuna Mlima wa Mwezi na mahali ambako Kuna Chanzo Cha mto Nile...
Vijana kadha wa kadha ambao nimepata kuwasiliana nao wanaonekana kum follow Thatboykhalifa. Anaonekana kujipambanua kama Mwandishi anayeamini zaidi katika weledi na maadili ya Uandiahi wa habari kwa kuwa impartial, trustworthy, fearless and inquisitive.
Nimeona clip Moja akidaiwa kuwa yeye ni...
Lini Mdee karudi CHADEMA? Acheni kutengeneza mada ambazo hazipo.
Mdee akirudi CHADEMA atakuwa karudi BAADA ya utaratibu w Chama kufuatwa ambalo sio Kosa.
Naamini wewe ni CCM ama Pandikizi la CCM na hii hoja unaishadadia Kwa malengo maalumu.
1. CHADEMA wametoa masharti Saba ambayo yakitimizwa ndio wapo tayari Kwa mazungumzo ( sio Maridhiano). Kwa makusudi kabisa wewe na CCM Wenzio au watu ambao hamuipendi CHADEMA ya Lissu mnapotosha. Miongoni mwa...
Juzi usiku nilikuwa nasikiliza wimbo wa Franco Luambo na TP OK JAZZ inaitwa CANDIDAT NA BISSO . Wimbo una dakika 19 ila unamsifia Mobuttu Sese Seko mpaka kero.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.