Hakuna mapenzi wala nn ni tapeli tu huyo kijana hujui kitu ww ndo maana unabisha wao lengo lao waongezeke ukifika huko jamaa anatafuta mwanamke mwingine na sio hivyo tu ni mengi yanakera,sasa ww dada nenda kaolewe ukapate chungu ya mapenzi,ningekuwa karibu yako ningezabua na vibao ,nyau kabisa...
Bora nionekane ninachuki hata vilevile nao wana chuki na mm,kama ni ww mdada nenda kaolewe huko utarudi tena hapa baada ya mwaka mmoja kuomba msaada kimbia haraka kama mwizi huyo hakufai kabisa
mashabiki upinzani muelewe tabia ya huyu lipumba ,kwanza nilistaajabu hivi vyama kuungana eti ukawa nilisikitika sana maana nilijua haya kuwa nn kitatokea,LIPUMBA NI MTU MSALITI SANA TENA MPENDA PESA NA MWENYE UCHU WA MADALAKA,
MWAKA 2010, NI UKWELI USIOPINGIKA DR SLAA ALISHINDA KITI CHA URAIS...
Fuata ushauri wa miss chaga,nikupe pole kwa majaribu hayo,pili fikiria maisha yako na huyo mumeo mpya huyo wa mzungu achana nae kabisa ndo anakuja kukumaliza ww hujui tu
YAMKINI NI BIKIRA ILA KAMA ANAMKATAA BOSS NA MPENZI ANAMPA TENA FREE P BASI HANA AKILI KABISA MAANA HATA MPENZI UKIMWI ANAWEZA KUMPA NA PESA ASIMPE WALA HIYO KAZI,SS SI BORA UPATE KAZI NA MBUNYE UTOE,(natania) NAMPONGEZA DOGO ANAAKILI SANA MUNGU ATAMSAIDIA TU,WW MPE NAULI ARUDI KIJIJINI
ww muongo acha kuwapa taarifa watu uongo,nani kakwambia wameshotlist watu 40?mm niko huku ppf nyie jiandaeni ni oral interview na kila mtu ktk postion yake aliyeomba kuna majopo ma8,ndani ya saa moja watu walioitwa ktk interview ya postion yako lazima wamalizwe ,msipanic kwa taarifa za uongo...
ww hujui kule kuna bigwa wa magonjwa yote ambayo utazunguka kote hutapata dawa ya kupona ila kumkili tu bwana kuwa ni mwokozi wa magonjwa yote uliyonayo nawe unapona ,basi kama huamini pole sana imani yako ni haba
mama wa kichaga
taa nyekundu ishalia muda ww mwanamke huelewi tu,haa watu wengine sijui namna gan,unaonekana unataka ndoa kwa kuvumilia ujinga haya ingia ndoani utaona kifuatacho ITV
sikia hama hapo panga chumba kimoja tu,panga vitu vyako hapohapo na kitandaq usiku ukifika lala na mkeo kitandani watandikie chini wote 3,usiku yale mambo yetu yakianza waombe tu watoke nje kidogo kwani unataka haki yako kwa mkeo,then waambie sina kodi ya kulipa vyumba vingi kwana huna...
Kod jamaa la kiume toka mbali mpe hela hakikisha huyo jamaa hafahamiani na wife aje hapo home alete zengwe kuwa anamtaka mkewe huyo hg kwa kuwa ana mimba yake,then watasepa atajua mbele ya safari jinsi atakavyombwaga,utakuwa umemaliza so kwa wife,moyo utajiju nkuhusu mimba yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.