Mkuu Ritz
Hivi kuna mpigania uhuru anaogopa kifo? Hawa jamaa na wapiga deal tu hawana lolote yaani wanawatoa wenzao kikoa masikini familia ya Mwangosi; hivi makamanda Mohamedi Mtoi; Mwita Maranya; Yericko Nyerere; Mikael P Aweda bado hawajafunguka macho tu?
Mchambuzi
Warioba hakupewa jukumu la kutengeza katiba,yeye kazi ilikuwa ni kukusanya maoni tu na wala maoni hayakuwa ndio kauli ya mwisho.wewe unapaswa kuipongeza serikali kwa jitihada zake za kutengeneza katiba muafaka itakayokidhi haja zote za muungano, CCM inafanya kile ninachoamini na nyie...
GAUTAMA
Huku ni mapenzi na uzalendo kama unayo karibu sana. Kamanda una acha kuipigania nchi umejiingiza kwenye michepuko afya yako muhimu. Ukiendekeza akili za kichwa kidogo utakufa kabla ya siku zako
Kamanda prof wako hajatoa majibu anajiumauma meno, anachofanya ni kuzunguka mbuyu, hana majibu siku zote hadithi za kutunga hazina mwisho mzuri, tunasubiri tarakimu atuwekee bayana. Kiungwana kama hana majibu anatakiwa aseme, pumba nyingi zikizidi mchele inakuwa tabu.
Mchambuzi
Hii weka kwenye kumbukumbu zako, mimi ni mwanaCCM ambaye siogopi mabadiliko ya katiba ili mradi tu yapigiwe kura na wananchi sikuwahi kuunga mkono mabadiliko ya katiba kupitia tume au bunge la katiba.Mimi ni muumini wa demokrasia ya kweli. Hivi vyote ni viini macho ambavyo wewe binafsi...
Kamanda unajua vilaza kama nyie mnaangali ukubwa paragraph na page zimeandikwa ngapi;mimi naangalia ubora wa kilichoandikwa sasa kama prof wenu Mchambuzi hajatoa majibu yasiyo ridhisha tusiulize? Hivi kuna ubaya kupata ukweli kama upo? Michezo ya kudandiana mnayo huko Chadema mimi natafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.