Recent content by chama mpangala

  1. chama mpangala

    Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Daaah wanaume tunalogwa Sana
  2. chama mpangala

    Tuna tatizo jipya: Mabinti ukiwaalika nyumbani wanang'ang'ania

    Siyo aache utoto huyo ni mtoto kweli. JF imeingiliwa na vitoto vya 2000, Sasa hivi imekua kama Facebook tu.
  3. chama mpangala

    Familia ya Wahhabi na nguvu ya Illuminati kwenye dini ya Kiislamu ili kutimiza malengo yao

    FAMILIA YA WAHHABI NA NGUVU YA ILLUMINATI KWENYE DINI YA KIISLAMU ILI KUTIMIZA MALENGO YAO. Illuminati walikuwa hawamtaki tena Shah, na Khomein ndiye aliyekuwa kibaraka wao mpya. Akiwa hapo alipokea msururu wa wageni kutoka BBC, CIA na kutoka kwenye shirika la kijasusi la Uingereza. BBC wakawa...
  4. chama mpangala

    Hivi mnawezaje kukaa wiki, miezi hata mwaka bila kufanya tendo?

    Exactly 💯 JF imevamiwa na vijana wa 2000
  5. chama mpangala

    Asali mbichi ya nyuki wakubwa – 100% natural

    Asali bado ipo yakutosha
  6. chama mpangala

    Asali mbichi ya nyuki wakubwa – 100% natural

    Unatafuta asali halisi yenye nguvu za kiafya na ladha tamu ya asili? Hii ndiyo fursa yako! Asali Mbichi ya Nyuki Wakubwa Haina uchakachuaji – ni mbichi na safi moja kwa moja kutoka shambani. Faida lukuki kwa afya: huimarisha kinga, kuongeza nguvu mwilini, na kusaidia mmeng’enyo. Ladha ya...
  7. chama mpangala

    Bollywood | Special Thread

    Sawa
  8. chama mpangala

    Bollywood | Special Thread

    Mbona sikandar ipo vizuri sana story yake.
  9. chama mpangala

    Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Huyu itakua alishatoboa wakipataga pahala pazuri wanakuwaga wasiri sana
Back
Top Bottom