Recent content by chama eddy

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wanawake wenzangu

    kilizi, nakushauri muombe xana Mola wako Muumba bt @ the same time nenda kwa psychologist una matatizo pia ya kisaikolojia. huwez tu ukakaa unamuomba Mungu hlf hufanyi jitihada za kujitibu.
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afya ya uzazi

    ukiwa na gf au mke mzoeshe mazoez hata kukimbizana au kuruka tu kamba pamoja yy ataona ni part of romance kumbe anajisaidia mwnyw na itakapotokea ni mjamzito hatoona tabu kufanya mazoezi cuz kishayazoea.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afya ya uzazi

    inabd tuwe tayari ili kuepuka labor complications. km unamuona mkeo au gf wako anajilegeza wkt wa ujauzito ni hatari xana inabd uwe unamfanyisha mazoezi bt cyo ya kulift vitu vzito. acrobatics ndo yenyewe kwa hii matter
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afya ya uzazi

    hata kwa mwanamke afanyaye mazoezi hasa ya acrobatics kujifungua kwake ni kwa urahisi mno with less labour pain
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    huu ni ubinafsi uliopitiliza, wadada tuwe makini na wanaume tunaotembea nao maana wengine ni hopeless kabisa hawajui hata sense of living. kuleta mackitko km haya hapa ni kuonyesha how irresponsible he is.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho alichokiongea yule Msichana aliyempiga Mtoto Uganda

    nawaasa waajiri wachunguze historia ya waajiriwa wao kabla hawajawaajiri. kesi km hii ilitokea marangu mwk huu mwanzoni ya yule houseboy kumchinja mtt wa darasa la kwnz hlf kumla ubongo wake, kumbe yule houseboy alikuwa insane. na kesi km hizi ni nyingi tu ambapo watu wana historia za mauaji au...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho alichokiongea yule Msichana aliyempiga Mtoto Uganda

    huyo dada ni ibilisi, had anajilinganisha kwmb amebleed hlf mtt hajableed, inamaana hajatosheka na ukatili wake dhidi ya mtt na bado anaona hajafanya kosa lolote.
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, usije ukamwamini mke wako hata siku moja

    pacpo kuaminiana hakuna mapenz ya dhati! ss unashauri wanaume wacwaamini wake zao hlf wawaamini watoto wao, je hao watoto wamezaliwa na nan? hizo ni fikra za kibinafsi tu!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mkorogo noma

    na wanaojichubua huwa na harufu flani hivi mbayaa inatia kinyaa tena wakishapigwa na jua
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mkorogo noma

    kwny viwiko, magoti na vidole ni ngumu xana kubadilisha rangi ndo hapo panapowaumbua wengi wanaojichubua
  11. C

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    chibu hana mpinzani, team wasafiiiiii!
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania She Is Barely 19yrs But Wants Me To

    jf home of laughter! mbavu zanguuuu
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishaurini jamani, Nimezaa watoto watatu kwa wanaume wawili.

    ukimuona anang'ang'ania kuzaa na ww tu habari za ndoa hamna bac nae ni mbabaishaji tu hata awe mwema kwako kiasi gani. mwanaume mwny mapenz ya dhati kwako kutokana na hiyo situation uliyonayo abadaan hatotaka kukuongezea watoto nje ya ndoa bali atakuoa kwnz ndipo mengine yafate
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kadri mwanamke anavyojiremba zaidi hamu ya kufanya nae mapenzi inapungua

    beauty lies to the eye of the beholder! kwahiyo kila mtu ana taste yake wen it cumz to muonekano wa mpnz wake ie awe natural ama mpenda make-up.
  15. C

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES ....kutoka Mlimani City

    kumbe na ww Junior. Cux uligraduate j'mos ilopita
Back
Top Bottom