MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
leo n siku muhimu sana kwa wanafunzi wa udsm wanaopatiwa shahada zao leo
je wewe unakumbuka wapi unaposikia maneno haya
kwa mamlaka niliyokabidhiwa nawatunikia digrii ya............ya chuo kikuu cha dar es salam