Recent content by CHALULUMO

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unafahamu kwamba Bia ina ladha sawa na Uke?

  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

  3. C

    JamiiForums Tanzania Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

    Hapa kwetu tz Hii chanjo ni kama wale jamaa wa goodmorning au Don't share. Mtu akishachanja ni mwendo wa kupiga campain ili tuwe wengi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tuwatumie wafungwa/Magereza kuzalisha chakula cha wanafunzi na chakula kiwe bure kwa shule zote

    Kila mfungwa apewe shamba lake alitunze mpaka mavuno, mavuno wagawane yeye na magereza kwa uwiano unaofaa. Sehemu ya mavuno yake iuzwe hela zao wawekewe kwenye account zao zitawasidia cku wakitoka
  5. C

    JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kuua huduma za miamala ya simu

    Biashara ya miamala kwa njia ya mitandao itashuka sana, bora wangeweka viwango rafiki kiasi.ni bora mtu ufuate hela yako ndogo kwa kupanda daladala au bodaboda
  6. C

    JamiiForums Tanzania 'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania

    Ukihamia makazi mapya cku moja amua kukopa kwa mangi Mchele, sukari, unga etc na kumlipa baada ya cku 2/au 3 hata kama hela unayo. Cku ukikwama hupati shida kumkopa.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wanyama ambao sio binadamu, waliingiaje katika adhabu ya kifo baada ya Eva/Hawa na Adam kutenda kosa la kula tunda?

    Sasa hao mbuzi katoriki tungewalaje bila kufa.
  8. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Wenye hela mnunue hiyo Nyumba. Nyumba siyo mbaya na Mtaa siyo mubaya kwa bei hiyo.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Kukiwa na dharura ya mchango kwa haraka, wewe na ndugu zako mnaweza kukusanya kiasi gani mkichangishana?

    Daa ni changamoto, Leo ikitokea dharura hata 1000 sichangii.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nchi 14 zatilia shaka ripoti ya ‘WHO’ kuhusu asili ya COVID-19

    Kama wanayopinga ni kweli basi Mchina ni noma ameshaingia mpaka kwenye organisation zao.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hivi bado watu wanaungama

    Unaweza kuungama hata mbele ya kanisa zima au umaiti wa watu. Cha msingi upo tayari kupokea fedheha na uadui kutoka kwenye huo umati kwa kukiri makosa yako kwa Mungu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Hivi kibamba Viwanja vinaenda kwa sh. Ngapi? Mfano kiwanja cha 20m kwa 20m na kipo 2km kutoka morogoro road
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ninamsapoti Rais Magufuli na mawazo yake dhidi ya COVID-19 Vaccine

    Liwekwe daftari Serikali za mitaa wanaotaka chanjo wakajiandishe, baada ya hapo ziwafuate hata majumbani.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Baba afumwa akishiriki ngono na Binti yake wa miaka 11

    Hii huwa siiamini.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Ha ha ha kumbe hata huko zipo za kupiga kimasihara.
Back
Top Bottom