Scoundrel
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 609
- 495
waungamishaji na waungamaji wote lao moja kuhusu dhambi na wanakutana maghetoni!Basi mkuu utakuwa na dhambi mingi mingi, maana sio kwa kasi hiyo.
waungamishaji na waungamaji wote lao moja kuhusu dhambi na wanakutana maghetoni!Basi mkuu utakuwa na dhambi mingi mingi, maana sio kwa kasi hiyo.
Mambo yanabadilika sana, Yawezekana pia na hili.Mstari wa mwisho..yaan jamaa yuko dunia yake tu...raha sana
Hivi kwa mwamposa uwa wanaungama.bashite naye sijui kaacha
Mkuu hauhofii kugeuka nguzo ya chumvi kama Ruth.Baada ya kujua ni kuwateka watu kisaikologia sijawahi tena. Utampigiaje mwanaume magoti na kumwambia makosa yako? Ungama kwenye moyo wako na Mungu wako
Jamaa kaungama moja kwa moja kwa kiongoz wa Malaika, hajapitia kwa wakala.Huyu jamaa alikuwa anaungama kwa Magufuli juzi!
View attachment 1714152
Jamaa kaungama moja kwa moja kwa kiongoz wa Malaika, hajapitia kwa wakala.



Anamwabudu binadamu,lkn ukimwambia amwabudu Mungu anakaidi,jinga kabisa.Huyu jamaa alikuwa anaungama kwa Magufuli juzi!
View attachment 1714152
Tusiwe tunajazana ujinga jamani mambo kama haya kama unayaamini tafadhali usishawishi wengine kaa nalo moyoni ili uende mbinguni mzee babaKuungama kuna nguvu na baraka nyingi.
Nina ushahidi Mimi binafsi. Kaungame uone raha na Amani yake.
Anajidanganya.Mstari wa mwisho..yaan jamaa yuko dunia yake tu...raha sana
AminaPokeeni roho mtakatifu mtakaowaondolea dhambi wameondolewa, mtakaowafungia wamefungiwa.
Tusiwe tunajazana ujinga jamani mambo kama haya kama unayaamini tafadhali usishawishi wengine kaa nalo moyoni ili uende mbinguni mzee baba
Duuh unamwambia Padre mishemishe zako? Hawahawa mapadre walevi na wazinzi? Kesho nitamuuliza Padre X.....maana ni mzee wa gambe na anawatoto watatu wote amewapa majina ya Marais.......Kuungama ni kwenda mwambia padre madhamb yako yote kwa maana ya kwamba hapo unamwambia Mungu...![]()
Kuungama dhambi kwa padri ni sawa tu.Yohana 20:21-23
Basi Yesu akawaambia tens, Amani iwe kwenu; kama baba alivyonituma Mimi, Mimi nami nawapeleka ninyi." Naye akiisha kusema hayo, akavuvia, akawaambia, "pokeeni Roho Mtakatifu wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wowote mtakaowafungia dhambi , wamefungwa."
Mungu yupo wapi ? nimkimbiliemkuu na bado huna mpango wa kwenda. Mkimbilie Mungu dunia inamambo mengi hii.