Recent content by Chalii flani

  1. Chalii flani

    Mchango wa Halima Mdee kuijenga Chadema ni sawa na Wajumbe wote waliobaki Chadema ukimtoa Mbowe

    Uko sahihi mkuu ila mwisho wa siku chadema Ni kubwa kuliko mdee...
  2. Chalii flani

    Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Njoo nawewe nikupe nipo ungalimited huku... usipoondoka na ujauzito wangu kinega weww
  3. Chalii flani

    Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Izi hasira sio bure pengine Kuna mjuba kakuchapia mkeo ukaamua kuja kukaa nyuma ya key board na kuanza kujambajamba ovyo Kama mbwa koko
  4. Chalii flani

    Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Unaonekana una jazba unaongea kwa mihemko tafuna tangawizi mbichi itakusaidia Huyo mmoja aliekuomba pesa ndio umejumuisha wajuba wote wa chuga punguza jazba jomba
  5. Chalii flani

    Dar: Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA, uamuzi wa rufaa ya kina Mdee, Bobi Wine yupo

    Nje ya hoja kidogo hua hamkoseaga kwenye kuchagua sare zenu
  6. Chalii flani

    Matokeo halisi kwa Yanga yanaanza kudhihirika

    Mashabiki wa bongo bhana! Kweli nyoso kwahiyo muanzisha thread unataka yanga ishinde mechi zote...? Kwani hizi timu nyingine zinazoshiriki hii ligi Ni vilema hawapaswi kushinda? Mpira Ni ushindani sio lazima ashinde mmoja kila siku ikiwa hivyo ligi itashukia thamani Mimi Ni shabiki wa yanga...
  7. Chalii flani

    Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Chuki binafsi tu suala la ushoga Ni current ishu kwa almost mikoa yote dsm nazani ndio yyheadquter kuhusu kuomba omba hakuna mkoa utaenda ukose omba omba by the way mtoa mada una lako Jambo kuitolea mfano Arusha wakikusanya nini hao machalii wa ara tuanzie hapo
  8. Chalii flani

    Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

    Riki boy Kuna mwingine kashaliwa kimasihara huku baada ya akili kumkaa sawa amekuja kututusi tusio na hatia huku
  9. Chalii flani

    Kufuzu AFCON-2023: Tanzania yapwangwa Kundi F pamoja na Uganda, Algeria, Niger

    CAF nao wamezidi kutuonea Sasa hawana hata huruma na sisi dah....
  10. Chalii flani

    Wapinzani 2025, nchi iko wazi

    Asante mkuu ubarikiwe
  11. Chalii flani

    2025 yupo mpinzani wa kushindanishwa na Rais Samia Suluhu

    Sawa tumekusikia kaunge foleni upokee 7500 yako ukale na familia yako
  12. Chalii flani

    Wapinzani 2025, nchi iko wazi

    Endapo vyama vya upinzani mtajipanga vizuri na kuacha blah blah mkatuletea wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa mwepesi Sana kwenu Fanyeni haya yafuatayo Andaeni wagombea watakaokua na sera nzuri kwa wananchi Vipaumbele vyenu viwe Ni kuwainua na kuwapambania wananchi wa Hali ya...
  13. Chalii flani

    UEFA: Real Madrid, Villarreal zaingia nusu fainali, Chelsea, Bayern hoi

    Kati ya m Makombe ambayo man city hanaga bahati nayo Ni uefa....Leo kuchomoka tu kwa atletiko itakua shughuli..save my word!
  14. Chalii flani

    Kagere vs Mayele: Yupi ni bora zaidi?

    Mimi sikuwahi kufatilia ligiya bongo ila ninapenda Sana kuangalia mpira wa ulaya na Ni mchezaji pia wa level ya mchangani huku Msimu huu nimejikuta tu napenda kufatilia na kuangalia mechi za bongo especially yanga anapocheza Kuna wachezaji wanne wananivutia Sana kuwaangalia nao Ni bangala...
  15. Chalii flani

    Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

    Dogo babu yako...kiazi wewe
Back
Top Bottom