Recent content by chala41

  1. C

    Maofisa wa Maliasili Kibiti Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake kupoteza ushahidi, DC aagiza uchunguzi

    Mi nachukia sana kuona vijana hawana hawana huruma na vijana wenzao watafutaji kama wao.! Unamfukuza vipi na gari mtu kabeba mbao ambazo hazina hata thamani ya elfu 50. Matokeo yake una sababisha madhara kabisa.
  2. C

    Sakata la kudharauliwa na kukashifiwa uislam, waislam kupitia watendaji wa serikali kupitia alama zao za utambulisho; ni ideology warfare

    Jamaa na yeye si avae tu nguo za kawaida kwani mpaka kanzu? Ila kwenye ndevu tusipangiane kila mtu na ndevu zake.! Ila twende mbele na kurudi nyuma wakiristo chuki na dharau zao kwa waislamu ni kubwa sana Ndevu tu wanakuona gaidi ila wapo wakiristo wengi tu wanafuga ndevu na wanaona fahari...
  3. C

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jamaa wanatupelekea moto hatari
  4. C

    Wanawake wanaojifungua hospitali za umma, wanadhalilika, usalama na stara hakuna

    Mtoa mada anaweza akawa yupo sawa. Mana wife kashawai niambie hiki kitu ni kweli kabisa tena bila kificho ngoja nitaje tu hapa hapa dsm kimara mwisho hapo kuna zahanati ipo barabarani ina mpaka kunguni na wanalala wawili kitanda kimoja na waja wazito
  5. C

    FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    Mechi kocha kaicheza kizembe sana anataka kushindana na hawa jamaaa. Bora angeweka viungo watatu wa kukaba then huku tanzania ndio tukaweka mfumo wetu.
  6. C

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huu mpira wa hawa jamaaa ni mgumu sana kwetu
  7. C

    Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

    Wachezaji wa kitanzania pambaneni hata mkikaa benchi msibweteke sana unaweza kuanza benchi ila kama unajua unajua tu HUYU HUYU OKEJEPHA MECHI KARIBIA NYINGI HACHEZI LAKINI HAPA LEO ANACHEZA UTADHANI ANACHEZA KILA SIKU. ANA UTULIVU NA PASS ZINAFIKA KILA ENEO KIUFUPI HUYU JAMAA SIMBA HAWAMTENDEI...
  8. C

    PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

    Jamaa una andika haraka haraka alafu una andika kama mgeni wa hapa nchini. Sijui ni utoto au baleghe au hanithi Umeandika kwa kujifanya mjuaji bila kutumia maarifa. Haya tuambie padre kashambuliwa umeshawai ona picha yake yupo hospital ana hata jeraha.?? Hiyo ni movie tu imechezwa kutengeneza...
  9. C

    DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Kukata hao wadudu na katika hiyo nyama naomba pika kwa kutumia vitunguu saumu na tangawizi.
  10. C

    Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

    Alafu hao mapadre na maaskofu ambao wana hizo PhD anglia impacts zao kwenye jamii ni zipi kama sio kila siku kutoa waraka na kueneza chuki kwa wafuasi wao.
  11. C

    Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

    Sasa hao maaskofu si wana PhD za chuki dhidi ya uislamu au mnazungumzia PhD gani
  12. C

    Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Bora tuwape nafasi hawa wachina watengeneze hapa hapa
  13. C

    Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Sasa watu kama nyie kweli mnafaida gani hapa kwenye jukwaa ??? Sasa hapo ndio umeandika upuuzi gani.??? Hizi ni chuki za wazi na kujionyesha mbele za watu kuwa una tafuta wanaume
Back
Top Bottom