Recent content by chakutaka

  1. chakutaka

    MAWIO: Acheni kupotosha umma kuhusu Prof. Muhongo kupandisha bei ya umeme

    Gazeti hili katika Toleo lake la tarehe 20, Aprili, 2017 limeandika kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Msomi, Prof. Sospeter Muhongo alishiriki kikao cha tarehe 28. Septemba, mwaka jana ambacho kilijadili mpango kazi wa TANESCO ambapo gazeti hilo linadai kuwa katika kikao hicho ilikubaliwa kuwa...
  2. chakutaka

    FASTJET kulipisha tiketi kwa Dola

    Leo hii nikiwa ninataka kukata tiketi online ili na mie nipande pipa la fastjet kuelekea jijini Mwanza nimekutana na malipo yaliyonichanganya kwani nilipigwa na butwaa kuona kuwa gharama ya tiketi hizo kuandikwa kwa Dola wakati zamani tulikuwa tukilipa kwa shilingi. swali langu kwao FASTJEt. Je...
  3. chakutaka

    Taarifa ya Serikali kuhusu upotoshaji wa mgodi Buckreef

    Jamani huu ndio ukweli wa sintofahamu husika.
  4. chakutaka

    Rais Magufuli amteua Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii JPM
  5. chakutaka

    Manispaa DSM mmeshindwa usafi???

    katika pitapita yangu jijini Dar es Salaam nimeshuhudia uchafu ukizagaa mbele ya nyumba za makazi ama sehemu za bishara. hapa ninachouliza ni kuwa hivi Manispaa mmeshindwa hata kujiwekea vijsheria vidogovidogo vya kuwabana watu wachafu??? kwa nini msiwakamate watu ambao mbele ya maduka yao ni...
  6. chakutaka

    Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    wezi wa vitalu mmeanza kuhaha sasa kama ana kashfa mpelekeni mahakamani
  7. chakutaka

    German Airbus A320 plane with 148 people crashes in French Alps

    jamani BBC sasa wanatangaza kuwa ndege inayomilikiwa na GERMANWINGS imedondoka karibu na Ufaransa na hakuna survivors, inasemekana ilikuwa na abiria kati ya 142 na 150. German Wings ni kampuni mwenza na kampuni ya ndege ya Lufthansa
  8. chakutaka

    Clock Tower Dar yawa jalala

    habari wana jamvi, hivi karibuni nilitoa angalizo humu kuhusu mnara wa saa jijini Dar es Salaam ulio karibu na Stesheni kususwa na mamlaka inayosimamia vielelezo hivi vya Taifa ikiwemo Manispaa ya ILALA, bado uchafu uliopo eneo lile haujaondolewa na panazidi kuwa dampo, jamani hili jukwaa pia...
  9. chakutaka

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    ELIMU YA VIONGOZI WA MATAIFA 5 TAJIRI DUNIANI 1. USA: GDP- US$ 17 billion BA, J.D (yaani Doctor of Law), Harvard 2. CHINA: GDP-US$ 10 billion President: BSc Chemical Engineering, LLD; Prime Minister: PhD Economics 3. JAPAN: GDP US$ 4.8 billion BA, MA (Univ South California)...
  10. chakutaka

    USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

    duh hadi Mwananchi limewageuka leo? walipotoka hakika hahahahah!
  11. chakutaka

    Clock Tower Dar yawa jalala

    kwa wale mnaopita eneo la Clock Tower jijini Dar es Salaam, karibu na stesheni mtakuwa mmeshuhudia uchafu unaoendelea kutupwa katika mnara huo wa saa, hivi manispaa ya Ilala mko wapi, lile ni eneo ni makumbusho lakini uchafu ule mnauachia mpaka liwe dampo,. vilevile mzunguko wa kariakoo karibu...
  12. chakutaka

    USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

    mtanzania limewageuka tena, basi sawaaaa
  13. chakutaka

    Siasa katika Ajira za "Oil and Gas" Wizarani na TPDC

    Ndugu wanajamvi, katika kuelekea kipindi cha Uchaguzi yapo mambo mengi ya msingi ambayo viongozi tutakaowachagua tunataka watupeleke katika Tanzania yenye Neema kwa kutumia Rasilimali tulizonazo kama document niliyoambatanisha inavyoeleza. Soma tujadiliane.
  14. chakutaka

    Cleopa Msuya: Potelea mbali huyu fisadi anayedaiwa kugawa pesa ili apate URAIS lazima afukuzwe

    WALIOMSIKIA MHE MSUYA LEO ASUBUHI KIPINDI LIVE CHA ITV wamemsikia mzee huyu wa heshima akiongea maneno bila kumung'unya kuwa, "Watanzania wamekalia kulalamika,tusipobadilika hatutafika mbali,mnakalia kusema hamna Dira ya maendeleo,leo tumepata kiongozi mchapa kazi,kiongozi mweny Dira,.mmepigia...
  15. chakutaka

    CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

    jamani watanzania tuache siasa za majungu na tufanye uamuzi sahihi wa kumchagua kiongozi mwenye wasifu huu,(fungua link) ambaye wapenda majungu walimuundia uongo na kumdhihaki wanaanza kuanguka mmoja baada ya mwingine.
Back
Top Bottom