Mbona inafunguka mzeeHata mim nishindwa kufunguwa.....alifunguwa tafadhali
Tumia PDF READERMbona haifunguki
Mbona inafunguka mzee
Ndiyo shida ya briefcase companies za ulaya hizo. Huyo mwekazaji kama tapelitapeli tu.
Wkuu..
Hiki kidhungu...??? nimeambulia jina tuu mwishoni
La Badra Masoud,Spoken Person..
Nadhani walengwa haswa ni wawekezaji (hususan wa kigeni) pamoja na mlalamikaji. Lakini nakubaliana na wazo la kutafsiri kwa Kiswahili kwa sababu umma pia una haki ya kufahamu kinachoendelea.Hii taarifa ya serikali inatolewa kwaajili ya akinanani?,wazungu au wananchi wa Tanzania mbona imeandikwa kwa kingereza, bibi yangu aliyeko nansio ataelewa kweli!
Pole mkuu.... Ila kama hukusoma press release ya Jim Sinclar hapa usingepata mtiririko kamili ya hii ishu... Ila kwa kifupi tu huyu Sinclar serikali yetu ndo ilimlea mpaka hapa alipofika...na kwa kumbukumbu zangu huyu jamaa sio mara ya kwanza kuikoromea serikali ya Tanzania...tulimlea wenyewe na utapeli wake akijidai mwekezaji acha tu atupumulie maana hamna namna..
Mkuu..
Press release ya Jim Sinclar nimeisoma na biti alilopiga serkalii..
Lakini kidhungu chake kiko fare, hiki cha Badra Masoud kimeniacha kila paragraph..