Recent content by chakka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu castor oil

    Asante ngoja nifuatilie
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu castor oil

    Wakuu kuna habari naomba ufafanuzi,huwa natumia castor oil kwenye gari yangu ndogo Toyota Isis ila kuna fundi anasema hiyo oil ni maalum kwa magari yenye turbo haifai kwa gari yangu na akaniambia nikitaka kuthibitisha niangalie oil huwa inapungua jambo ambalo nimeona ni kweli.
  3. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Samahani nashindwa kutumia app yenu inasema meter number not found
  4. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco app, naomba masaada wenu kila nikiingiza meter number inasema not found
  5. C

    JamiiForums Tanzania Toyota ISIS

    Wakuu natafuta amrest box ya toyota Isis, kimsingi hii gari haiji nayo ila nimefuatilia zinapatikana china kwenye online market shida ni shipping cost iko juu sana.
  6. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kufahamu shida nini Tanesco Makambako mjini nimelipia umeme toka mwezi wa 5 hadi leo..sababu naambiwa hamna nguzo au hadi mh waziri akija ziarani ndio tutawekewa umeme? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD?

    Duu umenikumbusha mbali Young proffessor
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Ovyo kabisa kupinga Jerusalem sio mji mkuu wa Israel kwa wakristo wenzangu tunaosoma biblia na kuilewa.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Mkuu wa Wilaya Mnyeti akiri kuwanunua Madiwani, adai ataendelea

    Nawashauri CDM wasivae tena combat maana ni kuizalilisha eti wanalalamika DC anawanunua wanaomba msaada kwa Takukuru.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Mkuu wa Wilaya Mnyeti akiri kuwanunua Madiwani, adai ataendelea

    Kwa Great Thinker atamuelewa DC alitoa hiyo kauli kama kejeli kwa CDM soma vzr hiyo makala utamuelewa. Ni kwamba chadema wamejishushia hadhi kwamba wananunulika .
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kama hiki nilichokisikia Radio One ni kweli, basi tunaomba majibu ya haraka sana kwa Wahusika

    Kwa ufahamu wangu ni kwamba siku zote vyombo vya dola haviwezi kukuruhusu kuingia kwenye maji wakati wao hawana uthibitisho wowote kama ni proffesional wa kuogelea kwa maana kwamba ukifia kwenye maji wao ndio watabanwa kisheria walikuruhusu kwenda kuokoa kwa vigezo gani
  12. C

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    IFUNDA GIRLS IPO IRINGA EMAIL chakka2668@gmail.com
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufukua mwili wa marehemu

    Ndio tunatafuta sheria inayoruhusu ili kuomba kibali cha mahakama
Back
Top Bottom