Pole, nini haswa kimekusibu ndugu? Ungeweka wazi pengine unaweza kupata msaada, tafadhali usifanye hivyo unavyofikiria kufanya, wewe bado ni mtu muhimu sana na unategemewa, changamoto unazopitia ni za muda mfupi tu
Acha mihemko , Mwigulu achafuliwe kwa lipi wakati serikali yote ya CCM ni batili na wamejiweka madarakani kwa mabavu baada ya kuua maelfu ya Watanganyika wasiokuwa na hatia ili tu wao washike madaraka
Gharama za ardhi ma surveyor wa mtaani mpaka kupata hati inaweza kukaribia Milioni na upuuzi, kwanini gharama zinakuwa kubwa kiasi hicho. Je hakuna bei elekezi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.