Recent content by chairman

  1. C

    Toyota Primeo inauzwa!!!

    kama premio ndo mil 8.3 vp gx100??? tafadhali tembelea website za magari kabla hujatangaza bei alaf umeshatumia
  2. C

    GE2010 Wabunge waliokwisha tangazwa RASMI na Tume ya Uchaguzi...

    kama unawajua wota si uwataje????
  3. C

    GE2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

    acha njaa dogo we huoni haya ccm ni wazee na vijana wachache wasiosoma alama za nyakati
  4. C

    GE2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

    rube mtahaba anataka kugombea ubunge kwao ndo mana si unajua ccm kwa kulipa fadhila za mafisadi
  5. C

    Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

    mbona watoto wa mkapa hatukuwasikia kwenye kampeni hawa wakwere vp tena tangu lini familia nzima ikaingia kwenye kampen na kutumia hela ambazo hazina auditing. haka katoto wapambe njaa wa ccm ndo wanampa kichwa kama yeye mjuaji mbona hatukumsikia kabla baba yake hajawa rais.
  6. C

    GE2010 Mikoa ya Kuamshwa 2015

    akili zako sio nzuri wew sisi sio wanakidumu chama cha wachakachua mikataba
  7. C

    GE2010 Mollel wa CHADEMA amtoa kamasi Lowassa

    alafu mbona unaonekana una pete ya ndoa vp tene tukueleweje???
  8. C

    GE2010 Mikoa ya Kuamshwa 2015

    mijitu ya tanga mivivu ndo mana inasifika kwa kilimo cha bustani na vijimatunda tu. ndo mana ccm inashinda hadi wagosi wa kaya waliimba jinsi hali mbaya ilivyo tanga lakin bado tu mnaikumbatia ccm shaur yenu. sis huku aruha mjini tumekamua mbaya.
  9. C

    GE2010 Mollel wa CHADEMA amtoa kamasi Lowassa

    hiyo miziwa yako vp tena?? hapa hatutaki ngono we dada. nakushauri utafute sehemu muafaka kwa hilo si kwenye kijiwe chetu tafadhali.
  10. C

    naomba mawasiliano binafsi ya kiongozi yeyote wa CHADEMA. either Mnyka, Kabwe au DR.

    namba zao za nini au na wewe umetumwa na mafisadi. peleka shida yako kwa sekretari wake atakusaidia. ofisi zao zipo wazi wapi kabla hawajafunga
  11. C

    GE2010 Maskini Karagwe

    kweli kijiwe kimevamiwa tuwe macho na wanajamii ambao wametumwa na mafisadi kutuharibu. lakini sisi tunasema hatudanganyiki hivyo vibia na vichips wanavyohongwa shair zao. hiki sio kijiwe cha ccm tafadhalini mliotumwa na mafisi ya ahadi
  12. C

    GE2010 Maskini Karagwe

    jaribu kuwa na data tafadhali na kama ameahidiwa kiasi hicho nani aliona au ndo majungu.
  13. C

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    sio huyo tu wahindi na wachina wamejaa kibao kariakoo na ukitaka uwe salama hata kama ni jambazi jiunge ccm. ila ucijitoe mana ukijitoa tu yatakukuta kama yaliyomkuta jeneral ulimwengu miaka ile.
  14. C

    GE2010 Wabunge Wateule Tayari Waonekana Ndani ya Nyumba!.

    mbona tundu lisu simuoni kwenye list au kunani hapa??????????? isije ikawa wanataka kumchakachua:bowl:
Back
Top Bottom