Recent content by chaggason

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msukuma: Kampeni ya Makonda ni ishara ya kukosa kazi ya kufanya

    Wanaongea ukweli akina mama hao walikutana na wanaume hao kwa hiari yao wengi wao sasa faragha hiyo hiyo ingepaswa kutumika kutatua mgogoro baina yao wangefanikiwa zaidi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzake waomba shauri lao kuhamia Mahakama Kuu. Mh. Ester Bulaya ameunganishwa katika kesi yao

    Hata kiswahili hujui brother 'harari' ndio nini?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Iko siku tutasikia mengi zaidi muda utasema
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa

    Kuna hela huko Mpwapwa jameni au akusanye mawe?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makanisani zaka zimepungua, zilikuwa zinatolewa na Mafisadi. Ahoji waraka kutotolewa Kibiti

    Awezaye kuangamiza mwili si kitu bali awezaye kuiangamiza roho. Muda utasema
  6. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

    Hatuakushangaa nawe ni mmoja wenye fikra finyu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

    Mawazo haya ni ya kibaraka limbukeni with due respect
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake ya kisiasa Mbowe amelala mahabusu

    Benson lazima ujue hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho iko siku maisha yataongea yenyewe
  9. C

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu /taasisi/Viongozi wanaotakiwa kulaumiwa kwa kifo cha Aquilina hii hapa

    Kwa kuwa na Wakurugenzi wa CCM ushindi kwa upinzani ni ndoto hivyo vijamaa ni vikada na vimekula kiapo cha kuhakikisha chama chao kinaashinda
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

    Ajabu kabisa hivi nje ya ukuta huo hakuna madini kweli maana can ni Tanzanite belt hata hapo nje ya ukuta yatakuwepo. Nawaza tuu kuna kaupungufu ka kufikiria hapo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Kuna mbunge wa Upinzani Dar ameomba kujiunga CCM, Chama kimemkataa. CCM kushinda Kinondoni na Siha

    Huu sasa uongo wa wazi wazi ni propaganda tuu za vyama hasa kuelekea uchaguzi wa Kinondoni
  12. C

    JamiiForums Tanzania MANYARA: Mnyeti awapiga marufuku Wakuu wa Wilaya kushirikiana na madiwani wa CHADEMA

    Huyu na kiongozi kipofu na mpumbavu kama alivyosema Yesu huwezi kutenga watendaji kwa itikadi zako uchwara
  13. C

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Kwanini hakupelekwa Canada nawaza tuu akakutane na mbunge mwenzake
  14. C

    JamiiForums Tanzania Natoa pole kwa mapacha walioungana, Consolatha na Maria

    Mungu awainue ndg hawa
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Huyu mzee ni mbishi daima anachopaswa ni kupokea ushauri na kuufanyia kazi mzee amapomalizikia aache baraka sio laaana
Back
Top Bottom