Recent content by CHADODO

  1. C

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

    Waliompa kula ni wageni,na huyo Monaban itakuwa wamemvua "uarusha arusha" kwa kuwa yy ni ccm, uliza swali jingine..
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Siyo u-dictator ,ni mchaka mchaka wa kufikia MABADILIKO YA KWELI..
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    Mbona Nyerere alikuwa Rais wa JMT na kura zake zilikuwa za bara tu..leo hakuna ajabu..
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

    je umeshaona mtu ana uwezo sana darasani lakin anashindwa kumfundisha mwenziwe? hapo unasemaje?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri Mkuu awamu ya tano (Wasifu wake)

    yaan hata degree yake ni ya ualimu..?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali hawampendi Magufuli

    ni hapo kwenu lakini wengi hawampendi,tena hapa kwetu tokea kampeni,wanasema atawapelekesha sana,Watanzania hawapendi kufanya kazi aise,inaniuma sana ,watu wanataka wakae tu ,kisha wabebe mshahara na kula rushwa,kama hatutabadilika kila mmoja, kamwe Tanzania itabaki hapahapa hata aje Malaika...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Hata kwa wazungu zipo,mfano mzungu ikimtoka mkononi glass au sahani na kuvunjika ni ishara ya mkosi..tuulize cc...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    kwani wewe hukufuatilia..?unauliza nn?
  9. C

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Kwa kweli mimi nilimjua alipmtabilia EL,maarufu kwako kutokana na itikadi zako,na mbona amekosea kutabili,then nikampuuza kwa kuwa alikuwa anafanya kampeni,so ckumtofautisha na Ng...jima..
  10. C

    JamiiForums Tanzania Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

    Kwenye kumbukumbu zangu Lipumba hakuondoka CUF bali alijuvua cheo,msiwe wagumu wa kuelewa..
  11. C

    JamiiForums Tanzania Urais Wa Dr. Magufuli ni funzo kwa Wengine

    je?,fraud imefanywa ktkt majimbo 188,tumia akili..
  12. C

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

    umenifurahisha kukubali Lowasa alipata 39%,miaka ijayo unaweza kuwa mwanasiasa mzuri,ucpelekeshwe..
  13. C

    JamiiForums Tanzania Rais mteule Dr Magufuli atuma salamu kwa wanafiki ndani ya CCM

    Yalifika 90 au 100,hayo majimbo waliodhulumiwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    Kwahiyo unakubali kwamba Lowasa ameshindwa,kutokana na sababu ulizozitoa...asante..
  15. C

    JamiiForums Tanzania Walimu nchini mjiandaa kwa Laptop

    Nadhan ndio maana walimchagua Magufuli na sio ccm..na walimkataa Lowasa na siyo cdm..
Back
Top Bottom