Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

Hizo kura kapata baada ya vijana wengi kukata tamaa ya kupiga kura, ingefanyika tar 25 oct, watu walikuwa na hamasa lema angeshinda kwa 80%
=> uelewa wa watu/vijana arusha ni tofauti na dodoma pwani ruvuma watu wanawaza mabadiliko tu!

Ni kweli maana tulopiga kura tulikua chini kidogo ya waliojiandikisha, sasa imagne kama tungetoka woooote ingekuaje???????????????????
 
Huu ni ushahidi tosha kwamba Rais wa Taifa hili kamwe hatatoka huko "kaskazini". Si kwa kizazi hiki tu bali na vizazi vyako vyote vijavyo. Tulia utawaliwe, huna budi mpuuzi mkubwa wewe na vijidharau vyako visivyo na tija.

Tatizo lako we rungu ni jazba hata kwenye ukweli. Ni kwa mabavu tu mnatawala kisa mna dola ila ipo siku sufuria lazima itoboke kwa kukwanguliwa sana ukoko.
 
Hivi wamemshindwaje lema hata kwa goli la mkono!!!!!!!
 
Mkuu CCM ilishasahaulika Arusha, kilichobaki ni mizimu yake tu.
Mussa Allan hebu tupe ukweli kuhusu hili,eti mzee alikuwa na 62% ya kura zote akachakachuliwa? Maana we mwenzetu ulikuwa jikoni kabisa kwenye tallying center tuweke sawa mkuu
 
Tatizo lako we rungu ni jazba hata kwenye ukweli. Ni kwa mabavu tu mnatawala kisa mna dola ila ipo siku sufuria lazima itoboke kwa kukwanguliwa sana ukoko.
Aisee unajua mtu akileta dharau zake kwa makabila mengine ni lazima aelewe kwamba huu upuuzi haukubaliki hapa Tanzania. Na ndio maana nimetumia hiyo lugha dhidi ya huyo kibwengo. Kwa hiyo ni vyema kama ukajaribu kumrekebisha huyo mwenzio na sio kunilaumu mimi bila sababu ya kimsingi. Au unamuogopa?
 
Hakuna dawa yoyote inayoweza kuiponya kansa inayoisumbua ccm hapa Arusha na kanda ya kaskazini kwa ujumla isipokuwa kifo tu! Na kansa hiyo itaendelea kusambaa taratibu hadi ccm ife na kufutika nchi nzima; hakuna jinsi! Kumbuka mzee Tupatupa kwamba "kila kinachozaliwa hatimaye huzeeka na kuchakaa hadi kufa" na kwa bahati mbaya chama hakina fursa ya maisha baada ya kifo!
VUTA-NKUVUTE
 
Last edited by a moderator:
Na akivunja tu kitaanza na wakwao maanando desturi yake. Yangu macho na Sanawari yangu.

Frediluu;
Usiogope kama weye hukumwahidi ulikuta wakila nawe ukaingia ukala. Nachoogopa ni hao wazee waliomwambia aanze kujishonea suti ya kwenda kuapishwa mjengoni. Waliweka antena zao zikaangalia kwenye ushindi. Wakamwambia agawe unga atapata, sasa unga umeliwa na kura wakampa Lema. Sijui hapo wa kulaumiwa ni nani.
Wazee wakachomoka usikuuu kama wanga vile. Hao ndo chungu kikivunjwa lazima kilambe
 
Sasa mnaochangia bado hamjui kura za huyo muuza sembe Monaban zimetoka wapi.
Kwa faida ya wengine naomba kuwaelimisha, Ccm siku zote ikishaona maji ni marefu hutumia siasa chafu za udini , ukabila nk.
Sasa baada ya huyu bwana kuona hatopata kura alikuwa anapita nyumba za kabila lake kuomba kura za kikabila kama anatafuta ukuu wa tambiko, pia ametumia hila nyingi za hukusanya kina mama kuwapa hongo na kuawadanganya kwamba akipata ubunge angrwakopesha kila kikundi 10m warudishe 30,000/ kila mwezi.
Hizo ndizo siasa za Ccm iliyokufa Arusha. Monaban siyo issue mjini A town

Monaban jinga kweli, mpaka wamasai walikuwa wanamjadili, kama anawaambia wamchague yeye kwa vile ni wa kwao, mbona hakupita nyumba kwa nyumba awaambie wamchague Lowasa? kwani Lowasa sio mmasai, sheee hatumchagui kabisa, huyu ni muongo tu, nikajua kimenuka aibu yake hii na chama chake.
 
Mnaweza, kwa tathmini ya haraka kwa nini watu waelewa kama Arusha walikata tamaa ya kupiga kura?
 
Bw. Mollel (Monaban) ni kabila gani? Wewe ni kabila gani? Watu wa jimbo la uchaguzi Arusha ni kabila gani? Watu 30,000 waliompa kura Mollel ni kabila gani?[/QU

Ni vema umtembelee pale Unga Limited au NMC atakuwepo na atakupa majibu ya kutosha tu kwa maswali yako hayo. Wengine tupo na Arusha yetu tukiamini ni yawote.

Join date: 21 November 2015. Nimeamua ku-highlight tarehe uliyojiunga na JF kwa kuwa ni dhahiri wewe bado ni mgeni hapa. Kuna maelezo ya kina sana kuhusu namna ya kutumia JF. Tafadhali soma maelezo yale.

Did you notice that I was replying to DuppyConqueror aliyepost kwamba watu wa Arusha wamechagua kwa misingi ya ukabila? So, ulichopost hapa kama majibu kwa majibu yangu kwa DuppyConqueror hakieleweki. Je, ina maana unakubaliana na DuppyConqueror kuwa watu wa Arusha wamechagua kwa misingi ya ukabila?
 
Frediluu;
Usiogope kama weye hukumwahidi ulikuta wakila nawe ukaingia ukala. Nachoogopa ni hao wazee waliomwambia aanze kujishonea suti ya kwenda kuapishwa mjengoni. Waliweka antena zao zikaangalia kwenye ushindi. Wakamwambia agawe unga atapata, sasa unga umeliwa na kura wakampa Lema. Sijui hapo wa kulaumiwa ni nani.
Wazee wakachomoka usikuuu kama wanga vile. Hao ndo chungu kikivunjwa lazima kilambe

Mpndwa Mangatara
Mi kweli siogopi maana hata huo unga sjui kama natumiaga, mi nimezoea huu wa dona hapa kwenye hii mashine Sanawari sokoni. Ila tu si unajua madhara ya chungu ee!!!! Aliyeona, aliyepokea, aliyetumia nk. ndo maaana najaribu kusema tu aache huo ujinga maana itaanza na wakwao kabla hata ya hao wazee. Siasa maliza kisiasa, uschanganye na mambo ya kimila. Hajaibiwa bali alitoa mwenyewe akitegamea kupata ambacho hakupata. Hivyo bas awe mpole asubiri 2020 labda.
 
Join date: 21 November 2015. Nimeamua ku-highlight tarehe uliyojiunga na JF kwa kuwa ni dhahiri wewe bado ni mgeni hapa. Kuna maelezo ya kina sana kuhusu namna ya kutumia JF. Tafadhali soma maelezo yale.

Did you notice that I was replying to DuppyConqueror aliyepost kwamba watu wa Arusha wamechagua kwa misingi ya ukabila? So, ulichopost hapa kama majibu kwa majibu yangu kwa DuppyConqueror hakieleweki. Je, ina maana unakubaliana na DuppyConqueror kuwa watu wa Arusha wamechagua kwa misingi ya ukabila?

Kusoma nilisoma namna ya kutumia JF ndo maana nipo, ila inawezekana mbwembwe za Duppy zilinifanya nimsome ndivyosivyo ka kudhani wewe inashabikia upande ule kwani nlihudhuria karibu mikutano yote ya kampeni hapa Arisha bila kuja ni cc ama CDM, NILTAKA KUJUA yupi ni yupi na nimpe yupi anayefaa na si jina zuri la chama. SAMAHANI kama nimekuweka kwenye kundi lile kimakosa na wala sishabikii milele daima uchaguzi kwa misingi ya kikabila, narudi kumsoma tena Duppy then ntarudi tena kwako kama vipi. JF ni blog na siye ni binadam.
 
Back
Top Bottom