Recent content by chachaweb

  1. C

    JamiiForums Tanzania Jengo la Makao Makuu ya TANESCO Ubungo kubomolewa wakati wowote kupisha ujenzi wa 'Interchange'

    Navyosikia jengo sio la serikali, tanesco wamepanga tu..
  2. C

    JamiiForums Tanzania Unahitaji website au blog?

    karibu sana boss
  3. C

    JamiiForums Tanzania Unahitaji website au blog?

    Habari zenu wajasiria mali, kama unahitaji website kujitambulisha na kutangaza biashara yako kwa bei nzuri, tafadhali wasiliana nami kwa namba hii 0758717754 au 0658555903 Sample ya kazi zangu www.kageratourism.com www.boschatoursandsafaris.com www.hetzco.com www.mgresorttz.com
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya Malawi na vya kienyeji

    boss 2,500 si ndio bei ya kawaida? tupe hiyo ya nafuu sana. Pia unapatikana wapi? vifaranga 100 naweza pata?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nitumie Blog au website kwaajili ya mtandao wa habari

    mimi natengeneza tu blog, contents ni mwenye blog ndio anaweka kutokana na mahitaji yake. blog ya ajira mwenyewe anajitahidi sana, anapata visitors wengi sana per day
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nitumie Blog au website kwaajili ya mtandao wa habari

    blogs: Ajira-Kijana wa leo Habari Today sheriakwakiswahili.blogspot.com website. Mawalla Safari - Tanzania Safari | African Safari | Luxury Holidays in Tanzania | Camping Safaris in Tanzania | Serengeti Wildebeests Migration Tanzania and Kenya | Mawalla Safari Home - New Positions Company Ltd
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara Kariakoo Wafunga Maduka kwa kuhofia TRA

    mimi nadhani tatizo bado ni elimu, vitu vingi vilivyo andikwa au kusikia kuhusu hizi mashine sivyo sahihi. Jambo zuri ni kwenda TRA kuna kitengo cha elimu kuhusu EFDs. kwa ufupi hizi mashine hazijabadilisha mfumo wa ulipaji kodi, kazi yake kubwa ni kuweka records ya mauzo ya mteja. kwa mfanya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mashine za EFD

    Habari! mtu anayetakiwa kutozwa VAT ni mfanya biashara anayefanya mauzo ya zaidi ya milioni 40 kwa mwaka au milio 10 katika miezi mitatu. from TRA website "Who qualify for VAT Registration Any person conducting a business whose taxable turnover exceeds or is likely to exceed TSHS 40 million...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji website

    bei inaanzia laki tatu (300,000) na ina include domain name, paid hosting kwa mwaka wa kwanza
  10. C

    JamiiForums Tanzania Web Application Job

    ofcoz nilishamwandikia email, ila pia nimeona na huku sio mbaya, just in case ametembelea huku kwanza kabla ya email
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hitajio la kampuni au mtu binafsi kwa ajili ya kutengenezewa dynamic website

    habari!! naweza kuwatengenezea dynamic website nzuri kwa bei nzuri tu. contact 0758-717754/ 0658555903
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hitajio la kampuni au mtu binafsi kwa ajili ya kutengenezewa dynamic website

    kama bado mnahitaji website, naweza watengenezea website nzuri kwa reasonable price. contact 0758717754/0658555903
  13. C

    JamiiForums Tanzania Web Application Job

    naweza kuwatengenezea hiyo website kwa bei nzuri tu. piga 0758-717754 au 0658555903 - chacha
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji website

    habari!! mimi naweza kukutengenezea professional website, including hosting na domain name kwa bei rahisi saana. call: 0758 717754 au 0658555903 naitwa chacha. baadhi ya kazi recent: Mawalla Safari - Tanzania Safari | African Safari | Luxury Holidays in Tanzania | Camping Safaris in Tanzania...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kutengeneza website

    naweza kukutengenezea hiyo website kwa 300,000/= tu ina include one year hosting domain name NB: website yako kama unategemea itakua na viewers wengi sana wanao stream videos itabidi ku upgrade hosting serveces kwa ajili ya streaming videos. Call: 0758 717754
Back
Top Bottom