Hitajio la kampuni au mtu binafsi kwa ajili ya kutengenezewa dynamic website

mapinduzi daima

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
1,724
Reaction score
2,709
Ndugu zanguni.

Kwa niaba ya taasisi yetu ya umma; tunahitaji kampuni au mtu binafsi kwa ajili ya kutengenezewa Dynamic Website.

Kwa kifupi:

Website hiyo inakuwa inahabarisha umma na wadau wetu taarifa zetu. Pia yapaswa iunganishwe na Database ambayo itafanya wadau na walengwa wetu kuwasiliana nasi/kutupatia au kuwapatia taarifa zetu kwa njia ya website.

NB: Website hiyo yapaswa itengenezwe kwa kutumia state-of-the-art technology in web design.

Kwa yeyote ambaye yuko interested (kampuni au mtu binafsi) na hii kazi NONO naomba tuwasiliane.

Mail: nzegenuka@yahoo.com ; Mobile: 0712 728892

KILA LA KHERI.
 
kama bado mnahitaji website, naweza watengenezea website nzuri kwa reasonable price. contact 0758717754/0658555903
 
habari!! naweza kuwatengenezea dynamic website nzuri kwa bei nzuri tu.

contact 0758-717754/ 0658555903
 
Back
Top Bottom