Recent content by cesallinho

  1. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

    Mlisema JPM anadanganywa
  2. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Sasa siyo siri tena ni Vita vya Magufuli na Makonda dhidi ya Mawaziri wa CCM!

    Uzuri wetu watanzania ni wachapishaji na wapiga kelele wazuri ila kuwajibika ni hamna..,kweli JPM na serikali yake imenifanya nigundue nchii hii wazalishaji ni wachache zaidi ya walaji ndio maana maneno mengi kila kukicha..
  3. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Flyover na Fedha za World Bank: Kipigo kingine kwa Tanzania

    Unaemdharau kusaini mkopo alishakuwa kama sio bado ni mwenyekiti wa bodi ya makandarasi nadhani taaluma hii ya majenzi anaifahamu kukuzidi na hizo porojo zako...
  4. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Naapa mbele za mwenyezi mungu ya kwamba sijutii na kamwe sitojutia kwa kutomchagua John Pombe.

    Alivamia akawaambia wawe chini ya ulinzi..!?[emoji848]
  5. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli amemteua Dkt Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishna wa TIRA

    Daa hii nchi hawakuchaguliwa wasomi tulilalamika sasa wasomi wanapata uteuzi napo imekuwa shida kweli naamini sisi WATANZANIA NI WANAFIKI KUZIDI UZAO WA MITUME ULIOKUWAKO DUNIANI...
  6. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Magufuli ameletwa na Mungu. Najuta kutompigia kura

    Mimi naona watu wa kutoka nje wanampigia salute wakiona picha tu wanalitamka jina lake hivyo hivyo japo wanalikosea....
  7. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji fanyeni msako makampuni yote IPP, Azam, Quality, Mahoteli ya Utalii, Migodi na Barabara

    Uhamiaji wanatembelea kampuni zote aacheni maneno...mimi nimeona kampuni nayofanyia kazi walifika na pakawa hapatoshi sio hapatoshi watu wa nje wote wanasalute picha JPM...
  8. cesallinho

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari na umma

    Huwezi jua wanaweza susia ndani ya bunge...
  9. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

    Twendeni tukafyatue tofali tujenge vyumba vya madarasa na nyumba za walimu
  10. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Watu wananilisha maneno, mimi namuunga mkono rais Magufuli na Serikali yake

    Hapana watu mnapenda ku tafasiri mnavyotaka nyinyi...nchi hii...
  11. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Natabiri kuna watu watakuja kujiuzulu

    Kweli nchii hii tupo vichaa wengi....;
  12. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    Mimi nasikitika hukumu inaelemea upande mmoja kwa mwalimu bila kuangalia tatizo limeanzia wapi kwani nini walimu walipandisha hasira vile ila kwa sababu wazazi wengi wetu hatupendi kuambiwa wala kukubali tunapoambiwa mtoto wako mwizi au mtukutu sishangai mzigo wa lawama na hukumu wakipewa walimu...
  13. cesallinho

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, William Lukuvi atishia kujiuzulu, athibitisha mkewe kung'oka ATCL

    Hizo faragha ndio zimetufikisha hapa tulipo....mi nadhani aliamua kuweka wazi na kama anaona anaonewa ajiulize mke wake kufanya kazi wakati shirika halifanyi vizuri au halipo ni sawa...!?
  14. cesallinho

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza na kosa la kwanza

    Kama zikiachwa huru na uhuru huo ndio mwanya wautumiao kufilisi au kuiba mali za shirika husika...,Je huoni kuna haja ya serikali kutoa miongozo yake..!?
  15. cesallinho

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza na kosa la kwanza

    Zikishindwa na wewe utakua umeshindwa hakika taifa zima la tanzania litakuwa limeshindwa ila kama wewe sio mtanzania hutakuwa ndani ya kundi la kushindwa....
Back
Top Bottom