MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,191
- 7,322
Najua wengi hasa wapinzani hamumpendi ila ukweli lazima niuseme.
Najua ila ili tuendelee lazima tukimbizane mchaka mchaka. Huoni aibu nchi ina miaka 50 ya uhuru, ina amani tele ila hatuna mwakilishi hata Wigan. Halafu TFF inacheka cheka cheka tu.
Uganda anaenda mataifa Africa sisi tuna maeneo ya wazi kila sehem mtaani watu badala ya kucheza mpira wanavutia bangi na kuuziana madawa ya kulevya tu.
Unaenda NBA unatimuliwa. Hizi zote ni ujamaa na kubembelezana kila sehemu. Magu nampenda yupo against kubembelezana kwenye swala la nchii.
Magufuli ongeza spidi baba, mambo ya siasa siasa achana nayo.