Vitu vidogo kama hivi eti ntaunda kamati kusoma hujui hata picha huoni saa nyingn nakereka sana napoona mtu unachukua muda wako kuamua kupotosha jamii waziwazi
Nafikiri saiv anza kuweka mabandiko yako yako kwenye MMU maana naona kabisa una ugomjwa wa mapenzi ww your full of nonsense surprises anayekulipa kwa akili zako anakazi kweli
Acha kukurupuka makonda mwenyewe alisema alitaka iwe kwa wilaya yake ila wamiliki wakamshauri ni bora iwe kwa mkoa mzima na akawasiliana na mkuu wa mkoa akapewa ruhusa sasa sijui shida kwako iko wapi kama hufatilii jambo huna haki ya kuzumgumza.
For the first time nimeona kitu kinachomake sense kwahili sawa ila kwa ushauri tu serikali ingeanza kwa kuruhusu TBC kuendeshwa kibiashara ili iweze saidia kulipia haya matangazo ya moja moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.