Si ndo hapo sasa....sasa ana uzuri gani wakututishia amani ya nchi.Kila mwanamke ni mzuri sema matunzo tu
heheheeee asantee umeamkaje leo ndugu?? maana ni positive tu naziona hapa
umenena vyema ndugu
Af wewe.....nipotezee tu
kama nafananae vile.......lol
Looooh ni shidaaaaa.....jamani!!ni balaaa
Nimekumiss
uzuri wa sura haufanani na uzuri moyo.... uzee haukawii kuja.....View attachment 182799 Ni Sheeder!!
mchepuko wa kawaida sana huyo.
duuu ndugu yangu unanimiss kwa machale kinoma vip lakin kwema
Ww umejipotezea mwnyw
View attachment 182799 Ni Sheeder!!
Heeee nimejipotezea mwenyewe kivipi? Mi nilikuwa nakusikilizia wewe ujue....
Yawezekana akawa mzuri mashine mbovuu