smart4n mwanzon huwa zinaleta utata kuunganisha net had uwe mtundu kidogo,uwenda ukawa VPN hujaset au data roaming so try more au mtafute mtu mwenye utundu kidogo ataweka mambo sawa ukishindwa peleka duka lolote wanao uza sim au kwenye ofis za mitandao watakusaidia
sawa ndugu yangu ila kikwazo ni kwamba familia zetu zinaamin kuwa mtu akimaliza degree yake pas matatizo ya hom aanze kuwa anatatua
sasa kijana akifika hapo ndo pale atakapotaka mshahara 1m+,ila kijana akipewa nafas kwamba atafute tu pasipo kuwaza nyumban sidhan kama anaweza kuwa na haraka ya...
guyz mi nachoamin kuwa na degree ni kukuza upana wa kufikiria,kumbe unaweza fanya hata kaz nje na koz yako na bado ukawa better in your income,eg.Mengi,DANGOTE,wote wana degree lakin hawajakaa kwenye maofis kusubir mishahara,
jaman tujiamin na tusitake mafanikio ya haraka kama tulivyo vijana...
kaka ol a gud college wat is matter ni concentration yako,but in a matter of education kama utafanya electrical and tonics engg itakupa wigo wakuchakua wap pa kwenda kama ni 'trical or 'tonics
sasa ndugu KITIMOTO kama una 5s wat if ukichukua mpya kabisa nadhan itakufaa otherwise fanya mpako uagiziwe abroad nadhan utafanya la maana zaid kama umekosa tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.