Mshahara wa Civil Engineer

engineers wakubwa wanalipwa kwa mapatano ya asilimia ya pesa ya mradi, mpaka 30mill kwa mwezi!
 
Smahan Kak hv hapo umemaanisha 30mil au 3mil
 
swala ni uwezo na years of professional experience, kama utakuwa specialist utalipwa hela nzuri sana tu! kama una deliver kazi kubwa inayolipa basi watakulipa pesa inayoendana na unavyomzalishia mwenye kampuni! 3mill si mshahara wa juu wa civil eng!
 
engineers deserve much@2in1
ndo mana wazaz wengi wakisikia mwanae anasoma science anaanza kujipa dreamz za kuishi vizur mbelen
 
Duh naona kwhy cjafany makosa kuapply dit-civil engineering,mm ni form 4 leaver2013
 
Duh naona kwhy cjafany makosa kuapply dit-civil engineering,mm ni form 4 leaver2013

Komaa sana wasije kula kichwa kabla ndoto yako haijapotea. Engineering ngumu kidogo, na uandishi wako huo ni wa facebook badilika huku watu watashindwa kukusaidia.
 
Hv jman civil eng analpw kiac gn kwa mwez


Unauliza Civil Eng. Wa level ipi...nifahamishe upate majibu sahihi na huo uandishi wako nadhani hapa haujakaa sawa...ila na mimi vilevile ni mgeni hapa...twende sasa.
 
engineering zote nzuri lakini usijipe kichwa bado hujaingia hapo dit, engineering sio mchezo wa lele mama Jipange upande wa hesabu utaweza, wengi waliingia dit na ndoto kama wewe lakini ndoto zao ziliishia mdomo. kuanzia pre entry had OD nikugumu pote. Karibu Sana Dogo
 
Unauliza Civil Eng. Wa level ipi...nifahamishe upate majibu sahihi na huo uandishi wako nadhani hapa haujakaa sawa...ila na mimi vilevile ni mgeni hapa...twende sasa.
Nadhani ungeweka wazi hocho unachokijua ingekuwa vema sana.
Anyway mi mwenyewe ni Civil engineer ila kwakuwa bado nipo kwenye kampuni binafsi basi mshahara wangu haujawa constant...nilifanya kazi kampuni flan kwa mshahara mkubwa sana 1+ mil na marupurupu lakini nilipohamia kampuni ingine mshahara ukashuka. I don't mind, unajua kampuni nyingi za ujenzi zipo kwa wahindi na wachina u can see how they can benefit out of urself. Kikubwa jua kazi, kuwa registered then mambo yatakaa level tu. Ni long runway.
Serikalini huko ndo majanga zaidi ingawa kuna uhuru mkubwa na misheni nyingi.
 
dogo soma, kazi ni kusoma kwa bidii mishahara baadae.....soma uelewe kazi maana vijana wa kizazi cha facebook vitabu mnaviona mama mkwe. wengi wenu mnasoma kwa slide na vinotes vya walimu wenu ili mfaulu mitihani. soma vitabu as many as practically possible
 
Duh naona kwhy cjafany makosa kuapply dit-civil engineering,mm ni form 4 leaver2013

Kijana karibu sana Civil Engineering. Mimi ni Civil Engineer pia niliyemaliza UDSM (FOE - Faculty of Engineering) mwaka 1998 kutokea Form 6. Hii system ya kutokea Form 4 na kuelekea DIT kwa mtazamo wa kua Engineer zamani walikua wanasoma FTC kwanza baada ya hapo wanajoin FOE wakikutana na wale wa Form 6 (shule yake hapo FOE ilikua 4yrs). Sasahivi haya mambo nasikia kijana anatoka F4 anakwenda hapo DIT akitoka hapo anasijui Diploma au Adv. Diploma ya Engineering, hayo sijayajua vizuri.

Kwanza ningependa kujua umepata Div gani form 4, pili unapozungumzia mshahara wa Engineer sasahivi unatakiwa kuelewa kua ni soko huria. Utapata mshara kutokana na utakavyo-negotiate na mwajiri wako. Ushauri wangu, soma kwanza shule (hata sisi tukiwa level ya F 4 hatukua tunawaza mishahara), pia huku duniani mambo hayaeleweki, unaweza kusoma Engineering ukajikuta unafanya kitu tofauti kabisa. Narudia tena acha kuulizia mishahara kwa sasa.
 
Kwanza nikukaribishe Jamvini maana unaonekana mgeni, pili nikuulize maswali ya ufahamu unataka mshahara huo uufanyie nini?

uyo kijana amemaliza form 4 anataka kwenda kusoma civil engineering kwa iyo alitaka kufaham iyo fani itamlipa au la pindi akimaliza chuo!
 
uyo kijana amemaliza form 4 anataka kwenda kusoma civil engineering kwa iyo alitaka kufaham iyo fani itamlipa au la pindi akimaliza chuo!
hata mimi napenda engineer ila napendelea electric nimmaliza mwaka 2016 nimepata division two mnanishaurije nimependa kwenda st joseph au dit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom