Recent content by cemalema

  1. cemalema

    Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

    hatare sana kiukweli.. hii ni vita ulimwengu unaenda kasi hii kitu ikipitishwa bongo sipati picha maana TBL na Serengeti watauza sana bia.. lol Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  2. cemalema

    Kipanya (Kibonzo): Watu wanasubiri mzunguko wa fedha mtaani

    kabisaa Nssf wanazingua sanaa.. mimi nilikuwa nimepata mkataba kampuni flani nikapewa cheo kikubwa na mshahara mkubwa na elimu yangu secondary wananiweka ktk mfumo wa 33% hapo sijawaelewa kabisaa wakati sina elimu ya chuo chochote wakanambia mbona una cheo wameandika ktk barua ya kuisha...
  3. cemalema

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    kiukweli product yoyote ya Mjerumani naikubali sana ataingekuwa na piston 16 na zaidi hakuna gari mbovu kwa uzoefu wangu sasa tangu nianze kumiliki magari nina uzoefu miaka 15 na nimekuwa na brand tofauti... gari ya kijapani ni nzuri sana kwasababu spear zake copy ni nyingi ila mjerumani hana...
  4. cemalema

    Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

    njoo tuyajenge inbox kama upo seriously.. Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  5. cemalema

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngara aondolewe Mara moja, amekuwa kero

    poleni sana nenda ka ofisi ya usalama wa taifa wilaya wasilisha hilo..ni mawazo yangu watakusikiliza.. Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  6. cemalema

    Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

    karibu tuyajenge... Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  7. cemalema

    Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

    Changamoto zipo... ni kwelikabisaa Zulu man with some power Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  8. cemalema

    Sijui hata nifanyaje?

    hii ni street world Cup...hataree sanaa Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  9. cemalema

    Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

    Mimi sifa zangu: 1.Mrefu wa futi 6.2 (Giant) 2.Mweusi 3.Mjasiliamali 4.Ninamaisha yangu najitegemea na kutegemewa 5.Miaka yangu 38 6.Mcha Mungu mkristo 7.Mwanamichezo 8.Ninaishi hapa Dar Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  10. cemalema

    Sijui hata nifanyaje?

    Samahani usinielewe vibaya ila ni kama umepangishiwa nyumba na boy wako then unaingiza wanaume wengine inaumizaga sana huuo jamaa amaekupenda ndio maana amekupa gari utumie alafu wewe unacheat au vaa viatu vyake... kaachini tafakari na wewe unasema hauna hisia naye za mapenzi Sent from my...
  11. cemalema

    Sijui hata nifanyaje?

    Rudisha gari ya watu fanya yako... kama umeliona hilo.. Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  12. cemalema

    Sijui hata nifanyaje?

    Rudisha gari ya watu kuwa free msipotezeane muda fanya yako nayeye afanye yake kama umeshindwa kujiongeza kiubunifu... usije jaribu kwenda kwa waganga wa kienyeji maana huko ndio mnakimbiliaga.. Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  13. cemalema

    Nahitaji Mwanamke/Dada aliye tayari kuolewa

    Sifa zake: 1. Mrefu awe zaidi ya futi 5 2. Muajiliwa wa serikalini 3. Dini yoyote awe mcha Mungu 4. Umri 27 adi 35 5. Asiwe na mtoto 6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana 7. Awe tayari kucheki afya NB; =Nipo Dar Es Salaam =Mawasiliano aje inbox itakuwa vema ukituma picha meseji...
  14. cemalema

    Natafuta mume

    njoo inbox Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  15. cemalema

    Hivi unapata wapi ujasiri wa kutembea/kulala na mke/mme wa mtu?

    mlaji naye huliwa vyake na wenzie.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom