Recent content by Celex elicia lucas

  1. C

    Kwa anayekopesha kwa riba, mkopo wa 1m unatafutwa, nipo Mwanza

    Karibu na kiwanda cha coca cola na kiwanda cha nondo
  2. C

    Kwa wanaokopesha kwa riba Mwanza mkopo wa 1m unatafutwa.

    Habari yenu JF members, nina shida ya 1 million mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Dhamana ninayo kiwanja ila kipo Mwanza kina hati miliki. Please naombeni msaada wenu.
  3. C

    Kwa anayekopesha kwa riba, mkopo wa 1m unatafutwa, nipo Mwanza

    Habari yenu JF members, nina shida ya 1 million mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Dhamana ninayo kiwanja ila kipo Mwanza kina hati miliki. Please naombeni msaada wenu.
  4. C

    Baba Diamond Ashinda Njaa

    angeenda kuchek dna ajue kama ni mwanae amhudumie na sio kukataa kumhudumia.
  5. C

    Nyumba tatu zinauzwa bei 85mil zipo Mwanza

    Nyumba 3 zinauzwa Mwanza bei 85ml contact: 0768900863 Ziko katika eneo moja mraba 40 kwa 40 ziko Mwanza nyuma ya kiwanda cha Coca-cola karibu na mnada wa Ng'ombe. Nyumba kubwa ya kwanza ina vyumba vitatu kimoja ni master bedroom,stoo,jiko,public toilet kwa vyumba viwili na sebule. Nyumba...
  6. C

    Nyumba 3 zinauzwa Mwanza 85mil

    ziko katika eneo moja zimekaribia ndio maana nataka kuziuza kwa pamoja kwa bei hiyo.
  7. C

    Nyumba 3 zinauzwa Mwanza 85mil

    Nyumba 3 zinauzwa Mwanza bei 85ml contact: 0768900863 Ziko katika eneo moja mraba 40 kwa 40 ziko Mwanza nyuma ya kiwanda cha coca cola karibu na mnada wa ng'ombe. Nyumba kubwa ya kwanza ina vyumba vitatu kimoja ni master bedroom,stoo,jiko,public toilet kwa vyumba viwili na sebule. Nyumba...
  8. C

    Mkopo wa laki 5 unatafutwa

    ukiona mtu kaja mpaka huku kuomba kukopeshwa ujue amekwama na sio kwamba haaminiki kwa watu.Anyway sio lazima kusaidia.
  9. C

    Mkopo wa laki 5 unatafutwa

    kama wanaomzunguka hawana pesa ya kumkopesha afanyeje?
  10. C

    Mkopo wa laki 5 unatafutwa

    Habari yenu JF members, nina shida ya laki 5 mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Nitairudisha baada ya 2wks.
  11. C

    Nauza vyombo vya ndani

    nimeweka picha za kuunganika maana bidhaa ni nyingi,baada ya muda kidogo nitaweka kila bidhaa na bei yake.
Back
Top Bottom