Kwa anayekopesha kwa riba, mkopo wa 1m unatafutwa, nipo Mwanza

Jul 18, 2012
69
25
Habari yenu JF members, nina shida ya 1 million mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Dhamana ninayo kiwanja ila kipo Mwanza kina hati miliki. Please naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom