Recent content by cefixime

  1. cefixime

    Huyu binti atanifanya niwe masikini

    Acha usanii.......Yaani mgonjwa aondoke hospital bila kulipa matibabu,Demu aende club peke ake,hizo pesa wew unatoa wapi nyingi kiasi hicho wakati uandishi wako unaonyesha wew Ni wa level zetu tu.
  2. cefixime

    JKT.Jeshi la kujenga taifa.(Hatima ya vijana wa Elimu ya juu mliowarudisha nyumbani Ipo wap)

    ukiwaza maslahi yako tu utaumia Kila siku...kule Ni moyo wa kujitoa tu.....No one can pay for your soul.
  3. cefixime

    JKT.Jeshi la kujenga taifa.(Hatima ya vijana wa Elimu ya juu mliowarudisha nyumbani Ipo wap)

    Habari za wakati,wapo vijana kundi la 2020/21(op uchumi wa Kati) wakuingia jkt tarehe 05/01/2021 wakarudishwa nyumbani February 2021,wakaambiwa wataitwa Ila waliitwa darasa la Saba na form four...wanaomba samahani lakini pia Nini Hatima yao katika kupewa nafasi ya kwenda kujitolea ili wapate...
  4. cefixime

    Mpenzi wangu anapiga punyeto

    Hiyo Ni shida ya kifikra na maumbile.. phycology defect on sexual practice...njoo DM nikuelekeze Cha kufanya.
  5. cefixime

    "Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

    Maisha yamebadilika,ugumu Ni kwa wote hivyo kijana akipata mwanamke mwenye nafuu kiuchumi anashukuru Ila kumbukeni Ni nyie wenyewe mlipenda 50% so hata katika maisha tubebeni.kikubwa mupendane na isiweyupo kimaslahi binafsi.
  6. cefixime

    Mapendekezo: Serikali ipitie upya Sheria ya Usalama wa Taifa na TISS iundwe upya kwa maslahi ya taifa

    Kinachoniuma Ni sisi vijana wazalendo tumesoma na tunasifa za kuwa katika hizo taasisi na tunania ya thati Ila hatupewi nafasi,kila ukijaribu kuhangaikia hupati,au kwa vile sisi tunatoka familia nasikia. Kama muhusika utasoma hii jumbe nahitaji msaada wako,sifa ninazo na uwezo ninao,nimejaribu...
  7. cefixime

    Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    Acha Tamaa na mke wa ndug yako jitahidi umtreat mke wako Kama mke na shemeji Kama Shem otherwise unaharibu
  8. cefixime

    Mrejesho: Nimempa Malaya 10,000 ili nimpime Ukimwi

    Acha uongo Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  9. cefixime

    Ilikuaje mpaka ukamla mke wa mtu?

    Wew jichangaje uyo demu c anajishuhulisha na saloon na yupo dar katikati. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  10. cefixime

    Kiwanja Cha Bata Arusha

    Hukuna sehemu ingine ya utulivu kiasi Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  11. cefixime

    Kiwanja Cha Bata Arusha

    Arusha kimya Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  12. cefixime

    Kiwanja Cha Bata Arusha

    Kipo wap? Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  13. cefixime

    Kiwanja Cha Bata Arusha

    Wakuu tupeane location kwa hapa Arusha kiwanja kilichotulia Cha kimyakimya.
Back
Top Bottom