Hello!
Leo nimejifikilia baada ya kupitia Magumu katika kipindi cha miezi 3 pasipo kupata mshahara.
Tangia Elimu ya msingi Tumekua tukifundishwa mahitaji ya muhimi kwa mwanadamu ni chakula, Nguo na pakulala/Nyumba ( I mean shelter).
Lakini wote tunafahamu kwa ulimwengu wa sasa nitapata vipi...
Kaka afazari ata ww mmeonana mkasalimiana kakupa dakika 10 hiiiiii nyingi mno
Imagine tokea 4m 4 uko ndo tulionana mwaka 2011
Last wk inaingia picha whatsapp kapiga picha kadi ya mchango na jina kashaandika
Hakuna cha salamu wala nn
Nyie welevu si mmetimiziwa ahadi na uyo kikwete bila kudanganywa eti, ila usisahau kanda ya ziwa tumeingizwa mjini kwa ahadi ya meli majuzi apa kidogotu ndugu zetu wafe kwenye kale kamkweche (Mv sengerema)
Sasa kama Chadema ni makapi asisahau producer wa Makapi ni nani Mwenye raw materials za kutosha kama riz1
Yani kwa msemo wa mzee yusufu ningali sema Ccm kushnei babu jiii......
Yaan saiv western movies kuna operation sambaza ushoga ....
tena saiv wanaonesha live kabisa angalia series inaitwa Mr. Robot episode ya tatu
Niaibuu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.