Je, malazi, chakula na nguo ni mahitaji muhimu?

cedrick14

Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
10
Reaction score
2
Hello!

Leo nimejifikilia baada ya kupitia Magumu katika kipindi cha miezi 3 pasipo kupata mshahara.

Tangia Elimu ya msingi Tumekua tukifundishwa mahitaji ya muhimi kwa mwanadamu ni chakula, Nguo na pakulala/Nyumba ( I mean shelter).

Lakini wote tunafahamu kwa ulimwengu wa sasa nitapata vipi hivi vitu vitatu pasipo pesa?
Bila pesa nitapata vipi chakula ama nguo, nitajenga vipi nyumba au hata kupangisha

Je, nikweli Chakula, Nguo na (shelter) ndio mahitaji ya muhimu kwa ulimwengu huu wa sasa ama ni Pesa?

Nyie mwaonaje.
 
Elimu ya shule ipo tofauti kabisa na elimu ya mtaani.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hello!

Leo nimejifikilia baada ya kupitia Magumu katika kipindi cha miezi 3 pasipo kupata mshahara.

Tangia Elimu ya msingi Tumekua tukifundishwa mahitaji ya muhimi kwa mwanadamu ni chakula, Nguo na pakulala/Nyumba ( I mean shelter).

Lakini wote tunafahamu kwa ulimwengu wa sasa nitapata vipi hivi vitu vitatu pasipo pesa?
Bila pesa nitapata vipi chakula ama nguo, nitajenga vipi nyumba au hata kupangisha

Je, nikweli Chakula, Nguo na (shelter) ndio mahitaji ya muhimu kwa ulimwengu huu wa sasa ama ni Pesa?

Nyie mwaonaje.
Tafuta pesa ukipata kaa na pesa achana na hivyo vitatu utapata jibu.
 
Muulinze mtanzania anayeishi pale Kagera nkanda kasulu atakuambia hivyo vitu vitatu.na ukila balance diet wala huugui.full stop
 
Hivi pesa bila ya mwanamke utazitumiaje? Si yatakuwa kama makaratasi t.paper yasiyo na thamani.

Mwanamke ndiyo hitaji muhimu la kwanza.

Ukiwa naye utajipinda kutafuta pesa kihalali au kiharifu ili umlishe' umvishe na umjengee, wakati ukiyafanya hayo na wewe unaponeapo.

Mwanamke ndiyo source ya uwajibikaji, wewe chunguza utabaini ukweli.
 
Ukivaa, ukashiba na ukalala hutakuwa na sababu ya kuwa na hela mfukoni, kwani hela tunatafuta kwa ajili ya hivyo vitu 3(muhimu)
 
Hivi pesa bila ya mwanamke utazitumiaje? Si yatakuwa kama makaratasi t.paper yasiyo na thamani.

Mwanamke ndiyo hitaji muhimu la kwanza.

Ukiwa naye utajipinda kutafuta pesa kihalali au kiharifu ili umlishe' umvishe na umjengee, wakati ukiyafanya hayo na wewe unaponeapo.

Mwanamke ndiyo source ya uwajibikaji, wewe chunguza utabaini ukweli.
Huyo mwanamke mwenyewe anataka umpe hela kwa ajili ya kula, kulala na kuvaa, akipata mahitaji hayo hakutakuwa na ulazima wa kumpa hela. Kazi mtakayobakiwa nayo ni kibadilishana tu vi.kojo.leo
 
kifaransa mahitaji muhimu yanaitwa condicio cine quo non.Yaani vitu ambavyo Bila hivyo huwezi kuishi. Uwe na hela usiwe .Chakula waweza kupata Bila pesa .Vijijini Mtu unamkuta hana hata Mia mfukoni lakini ana chakula tele.Malazi kiingereza sahihi ni dwelling place yaani mahali pa kujihifadhi kwa kulala.Paweza kuwa kwenye pango ,chini ya Mtu,kwenye habari,kwenye nyumba ya majani na miti ambayo Vijijini huhitaji kuwa na pesa kujenga , kwenye ghorofa nk.Mavazi pia ni kwa ajili ya kujistiri na kujikinga na baridi nk yaweza kuwa majani,ngozi,magome ya miti,au nguo za kisasa

Hayo uliyoandika kuhusu mahitaji muhimu naona hukuelewa somo kabisa kama mzazi alikulipia hela ya ada akipoteza pesa zako kulipia kichwa kitupu
 
Hello!

Leo nimejifikilia baada ya kupitia Magumu katika kipindi cha miezi 3 pasipo kupata mshahara.

Tangia Elimu ya msingi Tumekua tukifundishwa mahitaji ya muhimi kwa mwanadamu ni chakula, Nguo na pakulala/Nyumba ( I mean shelter).

Lakini wote tunafahamu kwa ulimwengu wa sasa nitapata vipi hivi vitu vitatu pasipo pesa?
Bila pesa nitapata vipi chakula ama nguo, nitajenga vipi nyumba au hata kupangisha

Je, nikweli Chakula, Nguo na (shelter) ndio mahitaji ya muhimu kwa ulimwengu huu wa sasa ama ni Pesa?

Nyie mwaonaje.
Tafakari kwa kina ulichofundishwa, ulichoandika na uhalisia wa maisha ya kila siku. Je ni sahihi au kuna kosa?
 
Back
Top Bottom