Sio hiyo tu matokeo ya uenyekiti kijiji cha migombani ndio tuliwapiga vizuri lakini kwakua walitumia nguvu na mabomu wakapora kura zetu matokeo yalikua kama ifuatavyo (Migombani chini CDM 83 CCM 49, Migombani kati CDM 99 CCM 53, Mlimani Park CDM 73 CCM 70, Migombani Juu CDM 71 CCM 48, Njoro CDM...