Hapa ni STORY tu, KULA kwenu.
Mimi nilijua Presidaa wa nchi jirani kesha wekwa pingu na prescutor wa ICC!
you men, lets be serious. Hii kenyatta ipi? Mnaleta mpasuko wa roho!!
Lukos anao mchango wa mjane please pitieni pale mchukue kidogo....
He better prepare himself to be a PUNK...LOH!!
Nilijua kenyatta rais, kumbe watz nao ni makenyatta?
Hata mimi sijaelewa kisa cha kutembeza bakuli kwa vijesenti hivyo vinavyotakiwa kumsaidia huyo Kenyatta. Mbona ni kama mil 8 za ki TZ ambazo mtu mmoja tu hapa Bongo anaweza kutoa sembuse wenzetu waliopo kwenye bahari ya pesa? Kama hawawezi kutoa kwa Mil 8 wanafanya nini huko? Si warudi home kwaajli ya kilimo kwanza na BRN? Kwanza story yenyewe haieleweki vizuri kosa gani alilokamatiwa huyo Kenyatta na ni Kenyatta wa wapi? Je kama ni issue ya sembe nayo tusaidie? Wengine wanang'ang'ania kukaa nje kwa misifa tu ya kuwa nje lakini wanapata shida zaidi ya tuliopo huku nyumbani bila hofu pamoja na shida zetu!Acheni mambo ya ajabu 5000$ wabongo huko mnazingua heli mrudi nyumbani mimi mwenyewe hiyo naweza kutoa bila kusaidiwa lol na ni mkulima tu wa kawaida wa jembe la mkono! Nalima vitunguu nyumbani lol!
Sent from my iPhone
Jamani mchangieni huyu mwenzetu mbeba box na ila akitoka awe amejifunza sasa...Kama mtu huna makaratasi hayo mambo ya kijiwe cha ughaibuni kujionesha kwa watu ya nini???watu design hio hawana papers huwa wanakula low profile hata hujui wanapoishi na wapi wanapata ridhiki sasa yeye kila jumanne kijiwe cha ughaibuni mara aseme sijui alikua umangani mara sijui vile ya nini hayo yote..vitu vya kijinga kweli naamini atakua amejifunza sasa kukeep low profile haya mavyama sijui CCM au CDM waachieni watu wa bongo nyie tayari mmko majuu hayawahusu...polee ndg yangu ndo ukubwa huo!!!michango jamani...kolokolokolo.