Recent content by CdoEngineer

  1. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya Bachelor of Accounting and Finance, and Bachelor of Accounting ipi nzuri zaidi?

    Nami naombeni msaada kuhusu "Bachelor of arts in development studies", hasa inadeal na mambo gan,maana dogo kanipiga swali naogopa kumdanganya.shukran!
  2. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri maana naona haya matatizo yananizidi uwezo

    chagua ushauri mmoja uufuate maana wana jf wamekupa mawazo mengi tu unaweza ukapata nafuu ya matatizo yako
  3. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Kusoma ni kuishi

    shukran kwa ushauri
  4. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Nimeng'atwa na kunguni nyumba ya kulala wageni, nataka nikashitaki

    duh hao jeshi Toto ,ni balaa
  5. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Makosa kwenye kuaply mkopo

    shukran mkuu
  6. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Makosa kwenye kuaply mkopo

    nashkuru ndugu yangu
  7. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Makosa kwenye kuaply mkopo

    Shukran mkuu kwa msaada wako.
  8. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Makosa kwenye kuaply mkopo

    msaada nimekosea ,nimeandika jina lisilo kamil,badala yake nimeandika jina moja pekee ,yaani mfano mzazi anaitwa SHIDA MATATIZO TABU ,nami nimeandika SHIDA. NINI nifanye ukizngatia nimeshaprint form.
  9. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Nchi 8 zenye sheria zinazoshangaza

    duh hatari,je ikitokea umekufa huzikwi au?
  10. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania US Navy Operation red wing

    Shukrani kwako mwandishi wa Uzi huu
  11. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Msaada;Tecno W2 hard reset and gmail account reset

    Wakuu; Nmefanya 'hard reset' kwenye Tecno W2 lakin shida imekuja kwenye 'gmail account verification' kwani 'previous gmail account' iliyokuwa signed in ni ya muda mrefu hvyo details zake nimezisahau.Naombeni msaa juu ya nini nifanye ili kufanikisha. Nawasilisha
  12. CdoEngineer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unconditional Love ❤ Mapenzi ya kweli

    good
  13. CdoEngineer

    JamiiForums Tanzania Hii ndio operation red wing 28.05.2005

    Nahisi siku yao ya kufa ilishafika,yani hawakuwaza kama wenzao wana kombora....dah pole kwao marehemu
Back
Top Bottom