Recent content by CDO

  1. C

    Atakae kuwa tayari kuwa Mke

    hapo sijakuelewa kwa nini MAANA; Mikoa ya Kilimanjaro,Arusha,Manyara nk.
  2. C

    Atakae kuwa tayari kuwa Mke

    Natafuta mke wa kuoa kuanzia miaka 21-24,awe mkiristo,sijali kama ameajiriwa au la..kikubwa ajitambue na asiwe mtu wa skendo,makabila yote ila kasoro pande za kaskazini..Umri wangu miaka 26..kama yeyote atakaeweza anipm!..NIKO SIRIAZ.
  3. C

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    Mh!!! Dawa yako ww jamaa haututakii kheri kabsa...ndude nimeipaka fresh ndani ya sekunde kama arobaini imeuma mpaka nikackia hamu ya kwenda haja...SITISHA ZOEZ TAFADHALI UTATUPONZA...aaaaghhh....shhhh!!!....maweeeeee
  4. C

    Nimpeleke wapi?

    Mdogo wangu hataki kabisaa suala la vidato....hapo ndo ananimaliza.Zngne lawama ndugu yang cjui nimsaidie vp.
  5. C

    Nimpeleke wapi?

    Wana jf nna mdogo wangu aliyemaliza primary mwaka 2011,kwa sasa umri miaka 20(a boy)..alifaulu mtihani ila wa kumuendeleza akakosekana,kipndi hko mm nilkuwa JKT nastrugle ckuweza kumcompany..nimeajiriwa miez mitatu ilopita hapa dar(magereza) najiuliza nimpeleke wapi ajiendeleze kielimu na umri...
  6. C

    Hii ni sahihi?

    Imagine kuwa umekwenda mitaa flan kutembea,suddenly unakutana na your lover(ww ni mvulana)ukamsalimia,kama kawaida ukambusu kwenye lips,wakati unambusu kumbe dadako wewe alikuwa anapita,dadako akatabasamu kwa kukuona unamkiss wifie(japo hujamtambulisha).Sasa ww ulivyoona dada katabasamu...
  7. C

    Mume hanifikishi kisawasawa

    Ushauri ulopewa na wadau ni mzuri mno jarbu kuufanyia kazi...usitoke nje ya ndoa kwan;USI TATUE TATIZO KWA KUANZISHA TATIZO..akili kumkichwa
  8. C

    Long distance relationship

    dalili ya mvua ni......)Kama hujui subiri mvua...atakumwaga kesho urudi kutuuliza umbembeleze vipi.
  9. C

    Mamdogo akikutaka?

    Wana jf chukulieni mfano kuwa; Baba kamtimua mama nyumbani then akaleta kakimwana kengine ndani, nawe ni mtoto wa kiume(25...yrs)hako ka mamdogo baba akiwa hayupo kanakutega uingie angazake umri mnaendana hamjaachana sana..UKITENGWA UTATEGEKA?(hata akina dada ambao mama zao ni masugar momy...
  10. C

    Nijuzeni mwenzenu..

    huyo jamaa anadai alikutana kimwili siku ya kumi baada ya bleed,baada ya muda huyo mdada hakuona cku zake so inawezekana kweli?.mi bado cjajua ujue linataka kufanana na langu
  11. C

    Niifanyie nini?

    Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani? Naishi kigamboni dar and am 22yrs. Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.
Back
Top Bottom