Nijuzeni mwenzenu..

Nijuzeni mwenzenu..

kwa uzoefu wangu huyo msichana atakuwa ametoa mimba hivi karibuni, na hiyo ishu ya kudai ana mimba kibongo bongo hakuna mwanamke anayeweza akajua ana mimba katika siku kumi...ZINDUKA WEWE KAMA UMELALA..

huyo jamaa anadai alikutana kimwili siku ya kumi baada ya bleed,baada ya muda huyo mdada hakuona cku zake so inawezekana kweli?.mi bado cjajua ujue linataka kufanana na langu
 
huyo jamaa anadai alikutana kimwili siku ya kumi baada ya bleed,baada ya muda huyo mdada hakuona cku zake so inawezekana kweli?.mi bado cjajua ujue linataka kufanana na langu

Siku 10 baada ya period maana yake ni siku ya 13 kama period yake ni 3 days au ya 14 au ya 15. Na siku hizo ya 11-16 kuanzia period ni za kunasa mimba. Na mimba huingia just once. So ni uzembe wake, kwani ni mdada ndio aliyeitoboa condom????
 
huyo jamaa anadai alikutana kimwili siku ya kumi baada ya bleed,baada ya muda huyo mdada hakuona cku zake so inawezekana kweli?.mi bado cjajua ujue linataka kufanana na langu

lipi tena hilo?
 
Acha ujinga, lea mimba. Hiyo maana yake ulitia mimba siku ya 14 ambayo ndiyo yenyewe. Ila kuna uwezekano alikuwa na mimba tayari ya mwezi 1 hivyo kakunasisha. Nenda kapime ujue ya muda gani. Ila kama hakuwa na mimba kabla au hakutoa mimba basi zigo lako kaka jibebe!
 
Siku 4, halaf ni kweli majimaji yenye ladha ya maziwa ni sahihi kutoka? Mbona sielew ?

Ndio yanatoka, sinimekwambia nimekamua mimi sasa hivi na yametoka.
4 plus 10 makes 14 hivyo hiyo ni fertile period kwa mtu mwenye circle ya siku 26-30.
 
Siku 4, halaf ni kweli majimaji yenye ladha ya maziwa ni sahihi kutoka? Mbona sielew ?

siku 4 + siku 10 baada= na siku ya 14= na siku ya yai kupevuka a.k.a kwa kintaalamu ovulation, ambapo yai la kike( ovum) likikutana na mbegu ya kiume(sperm) huleta UTUNGAJI WA MIMBA.

HONGERA MKUU KWA KUPIGA KAVU SIKU YA OVULATION KWANI SIKU HIYO MASHINE INAKUWA MNATO SANA NA WA MVUTO HATARI.
 
Acha ujinga, lea mimba. Hiyo maana yake ulitia mimba siku ya 14 ambayo ndiyo yenyewe. Ila kuna uwezekano alikuwa na mimba tayari ya mwezi 1 hivyo kakunasisha. Nenda kapime ujue ya muda gani. Ila kama hakuwa na mimba kabla au hakutoa mimba basi zigo lako kaka jibebe!
Angetaka kumnasisha angesisitiza matumizi ya condom? Msimtie ujinga. Mtoto ni Baraka, wanaotafuta watoto wakisoma humu wanatamani kulia.
Hamu ilizidi, hii ni matunda yake.
 
Siku ya 10 BAADA ya period ndio mahali pake. Nimekamua chuchu zangu sasa hivi, zimetoa maji maji meupe (ningekuwa na camera ningepiga picha nikuattachie) and l am not pregnant.

Simu yako haina Camera? Do ze needful tupate picha. Si unajua Vijana siku hizi tunajifunza
kwa picha zaidi!
 
Kama ni siku ya kumi, nadhani hizo ndio wanaita siku za hatari, kama hakukudanganya kuhusu hiyo hesabu na pia wewe mwenyewe unakili kuwa Kondomu ilipasuka basi jiandaeni kupata mtoto.

Hongera japo ni kwa njia ya kuzini, hivyo fanya taratibu if possibe mfunge ndoa mpate mtoto mkiwa pamoja ndani ya ndoa takatifu.
 
Back
Top Bottom