Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Basi wengine tunamshukuru Mungu kwa tulivyobarikiwa pasipo mchanganyiko mleta mada.
 
Mh!!! Dawa yako ww jamaa haututakii kheri kabsa...ndude nimeipaka fresh ndani ya sekunde kama arobaini imeuma mpaka nikackia hamu ya kwenda haja...SITISHA ZOEZ TAFADHALI UTATUPONZA...aaaaghhh....shhhh!!!....maweeeeee
 
Mh!!! Dawa yako ww jamaa haututakii kheri kabsa...ndude nimeipaka fresh ndani ya sekunde kama arobaini imeuma mpaka nikackia hamu ya kwenda haja...SITISHA ZOEZ TAFADHALI UTATUPONZA...aaaaghhh....shhhh!!!....maweeeeee

vp halikud****sana? maana nataka langu liwe kama la ppunda
 
mkuu kitoabu dawa yako nimeikubali siku.ya nne leo nimeona mabadiliko.dusherere limeongezeka kikubwa ni kuweka maji.mengi ya limao process inayotokea pale ni kuongezeka kwa mzunguko wa damu kwenye dusherere nimefuata maelezo na sasa kabamia kanazd kuongezeka nilikuwa na inch tatu na nusu kufkia leo nimepma nimepata inch sita nakushukuru mkuu kitoabu umeniokoa
Pilipili aina gani, kiasi gani, chumvi vijiko vingapi, limao ngapi, huo mchanganyiko unatakiwa fresh kila siku au hata wa jana uliobaki unatumika? Unamshirikisha mwenza ili aseme kiwango kilichofika kinatosha usitishe dozi?
 
NIMECHEKA mpaka machozi yamenitoka hii ni kali ahsante mkuu kwa kuleta hii kitu kwani nimecheka sana.
 
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

..............Yaani unataka kuua wa2... hiyo pilipli n kichaa pilipili mbuzi au pilipili hoho?
 
ukishamaliza kupaka mchanganyiko huo, then iweke juu ya gril ya kuchomea nyama, believe me ndani ya muda mfupi kitu kinafikia inch 10! Jaribu leo uone mafanikio yake!
 
Teh!teh!teh! Ole wao wanaopenda kutumia akili za watu na kuacha zao zimepumzika!
 
Bora niende kwa babu wa Loliondo kuliko kujaribu dawa hii!
 
Back
Top Bottom