Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu akiwa na Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya (EP), Rainer Wieland, walipokutana jana mjini Brussels, Ubelgiji kwa mazungumzo, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kikazi ya ujumbe wa CHADEMA kufuatia mwaliko wa bunge hilo.
Makamu wa Rais wa Bunge la...
Naibu katibu mkuu akikumbatiana na mzee ambaye alikuwa mmoja wa wasikilizaji kwenye mkutano wa Operesheni Delete CCM uliofanyika katika Kijiji cha Samazi, mkoani Rukwa. Mzee huyo ambaye alitokwa na machozi wakati akisikiliza hotuba, alisema kuwa aliguswa sana na maneno ya Mwalimu. (Ijumaa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bara Prof. Safari Jumbe Abdalla ataongoza msafara wa viongozi wa CHADEMA, unaotarajiwa kufanya ziara ya kikazi kwenye Bunge la Ulaya (EP), mjini Brussels, Ubelgiji kuanzia kesho kufuatia mwaliko wa bunge hilo.
Wengine katika...
Hali ya ccm arusha ni mbaya kuliko unavyoweza kuandika, chadema imewachanganya kabisa mpaka ijumaa makatibu wa kata zote walitishia kuandamana wakishinikiza Mary Chatanda aondolewe wakihoji tangu yeye aje chadema imekuwa na nguvu sana Arusha na ameshindwa kabisa kuibomoa chadema badala yake...
Mnyika hakukosea kusema kikwete ni dhaifu yaani wajumbe aliwateua yeye tena wanaccm wenzake akawajaza, ukizingatia walikuwa wanampa mtejesho nini kinaendelea baada ya kukamirishwa akaisifia lakini baada ya kupigwa biti na nape akaingia upepo akabadilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.