CCM taabani Arusha; Mangula aja kuokoa jahazi

CCM taabani Arusha; Mangula aja kuokoa jahazi

CDMhub

Senior Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
184
Reaction score
93
Hali ya ccm arusha ni mbaya kuliko unavyoweza kuandika, chadema imewachanganya kabisa mpaka ijumaa makatibu wa kata zote walitishia kuandamana wakishinikiza Mary Chatanda aondolewe wakihoji tangu yeye aje chadema imekuwa na nguvu sana Arusha na ameshindwa kabisa kuibomoa chadema badala yake tangu 2012 ccm wilaya ya Arusha imewaondoa makatibu watatu wakitegemea watakao kuja watakuwa ba mbinu za kuimaliza chadema lakini ndiyo kwanza chama hicho ambacho ndiyo chenye nguvu jijini Arusha.

kinazidi kuimarika zaidi baada ya kuona hivyo kambi za ccm yaani team Lowasa na team Membe chini ya mary chatanda kwasasa wanashikana uchawi wasijue la kufanya kila mmoja akimtuhumu mwenzake kuwa yeye ndiyo anasababisha chadema kuwa na nguvu hapa jijini Arusha ndipo juzi makatibu wa kata wakachachamaa na kutishia kuandamana kwenda kufunga ofisi ya mary chatanda mpaka uongozi wajuu umwondoe, kuona hivyo na ukiangalia mgongoro husika ulivyo ilionekana na ukizinfatia sifa mbaya ya Kinana hapa Arusha hasa akituhumiwa kuiba mashine za kufulia nguo zilizokuwa zitumike kwenye hospitali ya mkoa wa Arusha Mt Meru, Mangula akaona si busara kumtuma kinana kuja kuokoa jahazi bali aje mwenyewe na tayari kashaingia Arusha kujaribu kuokoa jahazi, vinginevyo chama kitabaki magofu tu...
 
Hali ya ccm arusha ni mbaya kuliko unavyoweza kuandika, chadema imewachanganya kabisa mpaka ijumaa makatibu wa kata zote walitishia kuandamana wakishinikiza Mary Chatanda aondolewe wakihoji tangu yeye aje chadema imekuwa na nguvu sana Arusha na ameshindwa kabisa kuibomoa chadema badala yake tangu 2012 ccm wilaya ya Arusha imewaondoa makatibu watatu wakitegemea watakao kuja watakuwa ba mbinu za kuimaliza chadema lakini ndiyo kwanza chama hicho ambacho ndiyo chenye nguvu jijini Arusha kinazidi kuimarika zaidi baada ya kuona hivyo kambi za ccm yaani team Lowasa na team Membe chini ya mary chatanda kwasasa wanashikana uchawi wasijue la kufanya kila mmoja akimtuhumu mwenzake kuwa yeye ndiyo anasababisha chadema kuwa na nguvu hapa jijini Arusha ndipo juzi makatibu wa kata wakachachamaa na kutishia kuandamana kwenda kufunga ofisi ya mary chatanda mpaka uongozi wajuu umwondoe, kuona hivyo na ukiangalia mgongoro husika ulivyo ilionekana na ukizinfatia sifa mbaya ya Kinana hapa Arusha hasa akituhumiwa kuiba mashine za kufulia nguo zilizokuwa zitumike kwenye hospitali ya mkoa wa Arusha Mt Meru, Mangula akaona si busara kumtuma kinana kuja kuokoa jahazi bali aje mwenyewe na tayari kashaingia Arusha kujaribu kuokoa jahazi, vinginevyo chama kitabaki magofu tu...

Mangula hata aje uchi hawezi kuiokoa ccm, ccm inakufa na sioni wa kuiokoa...
 
Wache kife kabisa na huyo mangula anatafuta namna ya kula pesa tu anajua hawezi na hatoweza kamwe
 
Hao wanaoandamana kutetea chama mfu ni viherehere vinawasumbua. Hivi hawajui Mary Chatanda ni chakula ya wazee wa ccm?

huyu mama uvccm waliwahi kujaribu kutaka kumwondoa wakashindwa...
 
Hali ya ccm arusha ni mbaya kuliko unavyoweza kuandika, chadema imewachanganya kabisa mpaka ijumaa makatibu wa kata zhote walitishia kuandamana wakishinikiza Mary Chatanda aondolewe wakihoji tangu yeye aje chadema imekuwa na nguvu sana Arusha na ameshindwa kabisa kuibomoa chadema badala yake tangu 2012 ccm wilaya ya Arusha imewaondoa makatibu watatu wakitegemea watakao kuja watakuwa ba mbinu za kuimaliza chadema lakini ndiyo kwanza chama hicho ambacho ndiyo chenye nguvu jijini Arusha kinazidi kuimarika zaidi baada ya kuona hivyo kambi za ccm yaani team Lowasa na team Membe chini ya mary chatanda kwasasa wanashikana uchawi wasijue la kufanya kila mmoja akimtuhumu mwenzake kuwa yeye ndiyo anasababisha chadema kuwa na nguvu hapa jijini Arusha ndipo juzi makatibu wa kata wakachachamaa na kutishia kuandamana kwenda kufunga ofisi ya mary chatanda mpaka uongozi wajuu umwondoe, kuona hivyo na ukiangalia mgongoro husika ulivyo ilionekana na ukizinfatia sifa mbaya ya Kinana hapa Arusha hasa akituhumiwa kuiba mashine za kufulia nguo zilizokuwa zitumike kwenye hospitali ya mkoa wa Arusha Mt Meru, Mangula akaona si busara kumtuma kinana kuja kuokoa jahazi bali aje mwenyewe na tayari kashaingia Arusha kujaribu kuokoa jahazi, vinginevyo chama kitabaki magofu tu...

Ukiona hivyo ujue chadema ndo wamezidiwa, siku zote tunajua arusha cdm ndo ina nguvu maneno haya leo ni ya nini?
 
Ukiona hivyo ujue chadema ndo wamezidiwa, siku zote tunajua arusha cdm ndo ina nguvu maneno haya leo ni ya nini?

Arusha kuna oparesheni delete futa kabisa ccm Arusha yaani hii ikimalizika lazima watabaki majengo na viongozi wale matahira tu wenye akili wote watahamia chadema..
 
Huyo ndo kiboko ya cdm maneno haya ya uoga tu hawana lolote

huyu mzee anatafuta posho tu Arusha hata uje na vifaru ni pangumu mwigulu ba kinana walikuja na mabomu na risasi za bastola na smg wajaambulia CHADEMA 4 na CCM 0 sasa huyu mzee atakuja na lipi jipya...
 
Ukiona hivyo ujue chadema ndo wamezidiwa, siku zote tunajua arusha cdm ndo ina nguvu maneno haya leo ni ya nini?

Ama kweli kuna watu wanajitoa akili,tangu lini ccm arusha ikawa na nguvu?
 
Huyo ndo kiboko ya cdm maneno haya ya uoga tu hawana lolote

Wakati ccm inapigwa kipigo cha mbwa mwizi huyo mama hakuwepo?wana arusha tumesha amua hatuitaki kabisa ccm
 
Mary Chatanda hawezi kuondoka kwani yeye ni mbunge wa viti maalum Arusha kawani akiondoka kura zitapungua kwenye baraza la madiwani. chezea ccm wewe. Punda afe lakini mzigo wa bwana ufike.
 
Kwa hali ilivyo Arusha now si waje uchi tuu hata Nyerere afufuke now aje hawezi iokoa ccm Arusha mjini
 
huyu mzee anatafuta posho tu Arusha hata uje na vifaru ni pangumu mwigulu ba kinana walikuja na mabomu na risasi za bastola na smg wajaambulia CHADEMA 4 na CCM 0 sasa huyu mzee atakuja na lipi jipya...
Teh teh! Hadi uchovu wa usingizi umeisha. Kambi ya jeshi Monduli kwa mamvi iko karibu na Aru city,wakachukue vifaru waelekeze jijini Aru. 4-0, Mwigulu akiwa kocha mchezaji.
 
Hawa mafisadi wana mabichwa magumu. Yaani hawasomi alama za nyakati. Acha waendelee kujiabisha kwa kupambana na mpango wa Mungu!
 
Teh teh! Hadi uchovu wa usingizi umeisha. Kambi ya jeshi Monduli kwa mamvi iko karibu na Aru city,wakachukue vifaru waelekeze jijini Aru. 4-0, Mwigulu akiwa kocha mchezaji.

Nimemkumba yule gamba, kipindi kile cha uchaguzi 2010. Abdulraham Shimbo!
 
Mary Chatanda hawezi kuondoka kwani yeye ni mbunge wa viti maalum Arusha kawani akiondoka kura zitapungua kwenye baraza la madiwani. chezea ccm wewe. Punda afe lakini mzigo wa bwana ufike.

Kutoa roho kwa ajili ya madaraka ishu ndogo sana!
 
Back
Top Bottom