Recent content by CDK

  1. C

    Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

    Ulitakiwa na humu usiwemo kabisa
  2. C

    Mbunge Saasisha apendekeza Serikali iweke siku maalum ya Magufuli Day

    Hawana uwezo wa kufikiri nje ya box
  3. C

    Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

    You made my day good observation
  4. C

    Airtel Money huduma mbovu sana, haya mmeondoa kipendele cha kuongea na muhudumu kimya kimya

    Mbona ipo uipiga hiyo *149*99# kasha chagua n ambayo ni next kicha chagua 10 ambayo ni salio/matumizi bila bando kasha chagua 1 salio utapata balance ya kila kitu
  5. C

    Uongozi wa J. P. Magufuli 2020-2025

    Umenena vyema (BIG UP)
  6. C

    Tundu Lissu azidi kuumbuka, wananchi wanamuona ni msema hovyo

    Free and Fair election ndiyo jibu
  7. C

    Ukiondoa ubabe na mfumo mbaya ndani ya CCM Mkapa alikuwa ni Rais mzuri after Nyerere

    Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja
  8. C

    Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

    Dah umenifanya nicheke tu
  9. C

    Nini hasa kimeondoa Corona Tanzania?

    Hapo umenena sahihi kabisa
  10. C

    Serikali ya Rais Magufuli na Corona

    Sisi hatupimi tu. Tungekuwa tunapima majibu yangetupa hali halisi.
  11. C

    GE2020 Nani atakuwa tayari kuchagua Wabunge wanaotumia madawa ya kulevya na pombe kali?

    Umeshiba au bado una hangover ya usingizi
  12. C

    GE2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

    Kwahiyo sisi tufanyaje?
  13. C

    Utafiti waonyesha Mask na Social distance inasaidia kupunguza usambaaji wa Corona

    Za kuambiwa changanya na zako siye wengine tunaendelea kuvaa. Hao wanoshindwa kuvaa kwa kuogopa kushindwa kupumua we waache tu
Back
Top Bottom