kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,557
- 2,626
tuma link mpalangeSawa sawa ntakutumia
tuma link mpalangeSawa sawa ntakutumia
Kuna ngazi ya Juu Mungu akikuinua ni lazima tu utajikuta kwenye Magroup ya Whats app utake usitake....Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Ulitakiwa na humu usiwemo kabisaNajikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Mwezi uliopita Nina group la tuliomaliza chuo kikuu pamoja, walifiwa wawili, wiki iliyopita Nina group la tuliomaliza A level pamoja akifariki member mmoja na member mwingine kafiwa na babake, leo naibuka group la tuliomaliza chuo Tena member kafiwa na babake, hapo Nina harusi sijachanga moja wiki ijayo na nyingine next month.Hata Mimi sipo group lolote.
Nulikuwa nayo matatu kila siku michango mtu hata akifiwa na Babu wa binamu yake anataka mchango.Harusi,send off sijui nini michango kila siku usipotoa wanakuchukia nikayafutilia mbali.
Siyo lazima uchangie kila msiba/harusi especially kama uko kwa magroup mengi.Mwezi uliopita Nina group la tuliomaliza chuo kikuu pamoja, walifiwa wawili, wiki iliyopita Nina group la tuliomaliza A level pamoja akifariki member mmoja na member mwingine kafiwa na babake, leo naibuka group la tuliomaliza chuo Tena member kafiwa na babake, hapo Nina harusi sijachanga moja wiki ijayo na nyingine next month.
Hii balaa, kumbuka tunachangia baba au mama mke/mume na watoto endapo watafariki, mie baba na mama Sina, Ila wenzangu naona kila siku baba anakufa unachanga tu, obviously niingechanga tu. Ila magroup yanatesa.
Wakati mwingine nilikuwa coincidence magroup matatu kuna misiba unajikuta unapata hela halafu unaitoa tu inaisha. Maana kwa umri na social status unakuta mkeka watu wameweka kuanzia 50 inabidi utupie hata ka 40 unafumba macho tu.
Wengine wanafungua group la harusi unashangaa umo tayari inakubidi uchange tu😃😃😃😃
Kuna vikundiKumbe kwenye WhatsApp hua kuna magroup?
Imekubidi ufiche uso kwa aibu ya magroup uliyomo!
Nina simu mpaka zingine ziko kabatini hazina kazi.
Kama unaweza kuingia jf utashindwa kujiunga WhatsApp?
Nitumie link ya telegram ya group lolote la xyz- yz=Unahitaji "social capital" sio kujitenga halafu siku ukihitaji watu nao wakawa busy unaona wana roho mbaya.
Magroup ni ushamba tu.Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Sina connection binamu, ukilipata nitumie na mieNitumie link ya telegram ya group lolote la xyz- yz=