VITA YA WACHAWI-30
by-GLOBAL
10 hours ago
ILIPOISHIA:
Mganga hakutaka maiti ilale kwani ingemletea picha mbaya kwa wateja wengine, ilibidi kaburi lichimbwe usiku uleule na watu watatu kwa kupokezana mganga msaidizi wake na Amangise mwenyewe kwa vile wagonjwa waliokuwepo walikuwa wanawake...
na wewe ni kiazi kweli kama mtu ameshaamua kutoa tafsiri tayari kwanini nimpe tafsiri ya kwangu.mwache mjinga aendelee kukaa na ujinga wake
Kungekuwepo na PhD ya matusi we mmaranguoriginal ungestahili kuwa nazo hata zaidi ya tatu
Matusi sio suluhisho na wala sio sulisho la kuweka wazi kitu ambacho unaona kimekosewa. Ikiwa unaona mtu amekosea unachotakiwa kufanya ni kumrekebisha mfano kama wewe mmaranguoriginal ulipaswa kutoa tafsiri ya hiyo aya aIizozileta kahtaan kutoka katika biblia nazo ni Kumbukumbu ya torati 25:11...
Huu ukwapuaji wa fedha umetokea lini na huyu Prof. Benno ndulu alikiri kwa kufanya hivyo wapi na lini. Je serikali mpaka sasa inalizungumziaje suala hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.