Recent content by cdc

  1. cdc

    JamiiForums Tanzania Trafiki kama kupita service road ni makosa basi muwaambie Tanroads wasizijenge

    Una gari? Au huwa unaendesha gari?? Labda tuanzie hapo kwanza? Sent from my SM-A920F using JamiiForums mobile app
  2. cdc

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji mulika michezo michafu DAWASCO Kimara

    Matatizo ya sisi wabongo yanashangaza sana karne ya 21 watu tunaongelea shida ya maji.
  3. cdc

    JamiiForums Tanzania Unaanzia wapi kuripoti uvunjifu wa sheria za utumishi wa bosi wako

    Watu wavivu wa kufiki/waliozoea mterezo hawawezi kukibali hiki kitu coz everyday watakuwa wanaaibika
  4. cdc

    JamiiForums Tanzania Ukiegesha gari vibaya, faini kwa gari ndogo ni Tsh 200,000 na Tsh 10,000 ni gharama ya gari kulala yard kwa siku moja

    Hili suala lilinitokea pia. Nilikuwa kimara. Ile nimeshuka nimeenda dukani wakafika kwenye gari wakamkuta wife afu gari sijazima. Wakataka kunitoza fine finally hawakuambulia chochote zaidi ya kupoteza muda kwa sound nilizowapiga
  5. cdc

    JamiiForums Tanzania Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

    Ni kweli aisee, hata pale uhasibu kuna nyingine inajengwa
  6. cdc

    JamiiForums Tanzania Kikao kazi cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Dar es Salaam kuanza kazi

    Mkoa wa Dsm kwa upande wa miundombinu ya barabara especially za mitaa ni very poor, yani fungu la kutosha linatakiwa kutengeneza na kurekebisha hizi barabara.
  7. cdc

    JamiiForums Tanzania Mada ya wanyama

    Licha ya kuwa hatagi, lakini motive kubwa ya kujifukia kichwa ni kugeuza mayai aliyoyafukia.
  8. cdc

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Hongera serekali kwa kufadhili masomo kwa wataalamu wa afya nchini.
  9. cdc

    JamiiForums Tanzania Fahamu matajiri watano (5) wenye hela ndefu duniani

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. cdc

    JamiiForums Tanzania Fahamu matajiri watano (5) wenye hela ndefu duniani

    Wacha kujifariji kijana', tafuta pesa utatue matatizo yako na nduguzo. Binadamu hakuumbiwa kuishi na matatizo bali kuyatatua
  11. cdc

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hili swali keo hii nilitaka kumuuliza Abdul Nondo
  12. cdc

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI itaje aina ya walimu wanaohitajika

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hilo neno wanyonge linanikera kinoma
  13. cdc

    JamiiForums Tanzania Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

    Umenifurahisha!! Kuna boss wangu wa kike anapenda sana kusifiwa sasa mimi nilikuwa sijausoma mchezo, siku moja alikuwa kapendeza kweli kweli basi nikamsifia Boss umependeza!!akasema "na wewe Leo umenisifia?akashangaa kweli" basi kutoka siku hiyo nikaanza kufuatilia watu wanavyomsifia, I came to...
  14. cdc

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana njia wanazotumia MATAPELI

    Dah aisee!!
Back
Top Bottom