TAMISEMI itaje aina ya walimu wanaohitajika

TAMISEMI itaje aina ya walimu wanaohitajika

Poleni saana kwa kudanganywa na uyo msanii ambae anajua uraisi ni kuwapa kazi makada walioshindwa kura za maoni, kujenga madaraja na kununua ndege tu
 
Nilimuonea huruma jamaa yangu flani mwaka juzi waliposema watu wa-apply yeye anaishi kilometa 210 kutoka kijijini hadi mtandao ulipo mjini nauli elfu12 siku ya kwanza mtandao ukagoma hana hela ya kula,sehemu ya kulala hana nikamkaribisha,home siku tatu nzima no mtandao akarudi kwao.Baada ya siku mbili kanipigia cm nimuazime nauli aje me sina akauza shamba ekari moja kwa sh elfu 80 kapoteza shamba la kulima,muda na ajira hakupata leo wamesema waanze upya namsikitikia sijui atakuja tena.
 
Wizara ya Tamisemi imetoa taarifa kuwa kuanzia jumatatu ya tarehe 7 wahitimu wa fani ya ualimu waanze kuomba kazi.

Kulingana na idadi ya wahitimu inayohitajika ni dhahiri wengi watakuwa walimu wa masomo ya sayansi na wale wa shule za msingi.

Kuliko kuwasumbua vijana wote kuhangaika kutuma maombi na kutumia gharama kubwa, ni wakati sasa serikali iweke walimu na masomo yanayohitajika ili wale wasio husika wasisumbuke bure kutumia gharama kutuma maombi kumbe hawapo kwenye mpango wa kuajiriwa na serikali.

Itakuwa dhambi kubwa sana kuwaacha vijana kutuma maombi wakati serikali haina uhitaji wa masomo fulani.
Serikali ya Magufuli inatoa rushwa ya ajira kwa vijana ikitegemea itapata kura zetu, waambieni hata mkitupa ajira kura hatuwapigiii ng'ooooooooo
 
Kwani ni wizara ya elimu inayofanya interview za kazi?
Hapo sidhani kama kuna interview, vigezo vitakuwa vitatu.
1. Waliokuwa wanajitolea
2. GPA
3. Unamjua nani/ umetoa nini?
ALL THE BEST MKUU, mshahara wa laki 716,000/= sio haba. Pia una uwezo wa kukopa Benki 12mill baada tu ya mwaka mmoja kazini
 
Nilimuonea huruma jamaa yangu flani mwaka juzi waliposema watu wa-apply yeye anaishi kilometa 210 kutoka kijijini hadi mtandao ulipo mjini nauli elfu12 siku ya kwanza mtandao ukagoma hana hela ya kula,sehemu ya kulala hana nikamkaribisha,home siku tatu nzima no mtandao akarudi kwao.Baada ya siku mbili kanipigia cm nimuazime nauli aje me sina akauza shamba ekari moja kwa sh elfu 80 kapoteza shamba la kulima,muda na ajira hakupata leo wamesema waanze upya namsikitikia sijui atakuja tena.
Mungu atasikia kilio chake asichoke ku apply
 
Back
Top Bottom