UK kuna jumuia za wa Tanzania zaidi ya 20 kwa nini TZUK peke yao wapewe facility za mikutano Ubalozini?
hilo hamjalalamika
UK kila mwaka wanaiombea nchi kanisa la WEST MINISTER lakini hamlalamiki kwa nini nchi haiombewi kwenye halll
MBONA mkapa alifuturisha na Obama pia anafanya hivyo na...
Tatizo sio kufturisha tuu
Ubalozi unapiga dili na wakenya pamoja na wahindi kusupply chakula...cha kiTanzania
chakula ambacho wangeweza kuwapatia waTanzania wenye mahoteli London, Reading au Leicester
Hivi mnaweza kuskia wa NIGERIA au KENYA wanawapa wa ZIMBABWE au WATANZANIA au WAHINDI tenda...
updates
mnashangaa milioni 300 zimetumwa vipi huku mbona hamjauliza TT zipi zilitumika kufanya hivyo?
lakini watu wameenda Tanzania lakini hawajaleta taarifa zozote za uchunguzi. Lakini imekuwa kama vile kesi ya nyani kapewa tumbili
watu wameamua kuchukua mortgage huko Birmingham sasa hivi
Si kweli
kwanza mimi ni mmoja kati ya CCM UK lakini ujue mpaka nakuja jamvini humu ujue kuwa nimechoka na nawakilisha maoni ya wengi kwani sasa hatujui pa kuelekea
CCM Tanzania wanasema wanafanya uchunguzi
CCM UK mwenyekiti na katibu (Susan) walitoa majibu kuwa tuwape siku 3 wataleta taarifa...
As it stands
Mwenyekiti alisema angetuletea ripoti baada ya siku 3
tumekutana ishapita wiki 3 hakuna ripoti wala nini
kamati iliyoundwa kumchunguza haina nguvu kwani nao inasemekana ndio waliogawana pesa
sasa hivi balozi kasema angeingilia lakini tatizo kuna ziara ya wabunge
as it stands...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.