Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.
sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi
wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa
na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri
Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi
sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
mkuu hao uliowaweka kwenye picha ndio wezi wenyewe au?? maana kama hawajaiba inatupa very wrong impressions na wao wanakua implicated negatively
BTW, kama wamechoka kimtindo hivi
Hiyo kamati nayo wanataka wakidhi njaa zao.Ni kitu gani ambacho wanafuatilia bongo wameshindwa kupata kwenye simu au kwa internet.
sasa tunatumiana sms kutaka kujua nani ka likisha hii habari kwenye intaneti
kama kawaida yetu tunatafutana uchawi
Kaka wewe mgeni CCM UK au TanzUk mbona pesa zimeliwa na zitaendelea kuliwa hapo,maana mchezo ulianza toka yule mama balozi yupo hapo.Nyie muulizeni A.faraji na wenzake wanajua vizuri halafu hela zote za nini huko UK au mnajenga Barabara na hospital kwa wapiga kura wenu.
Kweli ukistaajabu ya mussa .............

Hii taarifa ni nyeti sana. Wana JF inabidi tuitafakari kwa upana zaidi. Habari sahihi za ndani ya CCM ziliwahi kuvuja kuwa chama kina fedha chache kiasi cha kuanza kupunguza ruzuku kwa baadhi ya idara zake kama gazeti la uhuru, radio uhuru n.k Pia wakatangaza kupunguza posho. Upungufu huu wa kipato kwa CCM ulitokana na kupoteza viti vingi vya bunge katika uchaguzi uliopita na hivyo kupunguza ruzuku ya chama.Kama chama kina hali mbaya kifedha kiasi hicho inabidi itazamwe kwa undani wake hizo dola 250,000 (more than 300 milioni TShs) zilizopelekwa UK chanzo chake ni kipi? Nani aliyezituma? Benki iliyozisafirisha ilitumia utaratibu gani au invoice gani ilitumika na ilikuwa na maelezo gani? Hizo fedha ni nyingi sana na si rahisi kuamini kuwa zinaenda UK kujenga chama. Chama kinawanachama wasiozidi 100,000 unawapelekea fedha zote hizo za nini?Hapa kuna mambo mengi ya msingi ya kujiuliza. Tunahitaji majibu toka CCM ili waeleze ukweli maana inaweza kuwa ni sehemu ya ufisadi na usafirishaji wa fedha za kigeni nje ya nchi bila utaratibu mzuri.
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.
sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi
wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa
na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri
Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi
sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
as it stands nina wasi wasi kama tutasaidiwa kwani katibu wa CCM hapa bi Susan mzee amemshika pabaya balozi...anapewa taarifa za maneno tuu hana taarifa ya maaandishi
kwa ilivyo kuna hatari ya watu kuondoka CCM na eidha kujiunga na vyama vingine au kuwepo kwa mgawanyo mwingine ndani ya Chama cha Mapinduzi UK
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.
sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi
wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa
na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuri
Tunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchi
sasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
Mkuu hapo kwenye RED kuna maswali mengi naomba ufafanua maana huyo Mrs susas mzee amewai kuwa na tuhuma nyungi sana zikiwemo na mahusiano nje ya ndoa tena kwa kwenda kinyume na maumbile na waume za watu hali akiwa na wake.
sana unaposema kamashika pabaya balozi unamenishitua kidogo naomba fafanua
huyo ni mwakilishi wa raisi bana