Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

attachment.php
Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila.sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongoziwenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwana si CCM tuu bali hata kwenye jumuia ya Tanzania Association nako mambo si mazuriTunapiga vita ufisadi Nyumbani kwa ku export ufisadi nje ya nchisasa sababu ya kufungua matawi ya chama nje mmeona....watu wanatuma maombi ya pesa Tanzania kumbe wao wanataka kuzila
Mtoto wa nyoka ni nyoka hafundiswi kung'ata
 
as it stands nina wasi wasi kama tutasaidiwa kwani katibu wa CCM hapa bi Susan mzee amemshika pabaya balozi...anapewa taarifa za maneno tuu hana taarifa ya maaandishi

kwa ilivyo kuna hatari ya watu kuondoka CCM na eidha kujiunga na vyama vingine au kuwepo kwa mgawanyo mwingine ndani ya Chama cha Mapinduzi UK

Mkuu hapo kwenye RED kuna maswali mengi naomba ufafanua maana huyo Mrs susas mzee amewai kuwa na tuhuma nyungi sana zikiwemo na mahusiano nje ya ndoa tena kwa kwenda kinyume na maumbile na waume za watu hali akiwa na wake.

sana unaposema kamashika pabaya balozi unamenishitua kidogo naomba fafanua
huyo ni mwakilishi wa raisi bana

habari ndio hiyo....

Duh
kwa hiyo balozi anakitelekeza chama kwa wanyang'anyi kwa penzi la mke wa mtu
hawa viongozi wetu bwana.
wanajifanya wako serious kumbe maslahi binafsi, huyo mzee ni kiongozi wa ccm huko UK
watu wanamtafunia mke hivyo sasa akija Bongo itakuwaje?

hapa ndio mimi nashindwa kiongozi yeyote wa kike wa CCM nyuma kuna mwanaume kamuoweka hapo kwenye cheo.
 
Ebo!! Hii ni nini tena? ama umeshaanza kukata viuno kwa kucheza Sebene. Unajiandika na kujicuote mwenyewe, ipo kazi, au ndio msisitizo katika Viroja. Naona kule katika thread yetu na Fredrick Mwakalebela kupata kazi Makumbusho, umetuhama taratiibu!!, wamekufanyia kitu mbaya nini?Napita tu.
Duhkwa hiyo balozi anakitelekeza chama kwa wanyang'anyi kwa penzi la mke wa mtuhawa viongozi wetu bwana. wanajifanya wako serious kumbe maslahi binafsi, huyo mzee ni kiongozi wa ccm huko UKwatu wanamtafunia mke hivyo sasa akija Bongo itakuwaje?hapa ndio mimi nashindwa kiongozi yeyote wa kike wa CCM nyuma kuna mwanaume kamuoweka hapo kwenye cheo.
 
Ebo!! Hii ni nini tena? ama umeshaanza kukata viuno kwa kucheza Sebene. Unajiandika na kujicuote mwenyewe, ipo kazi, au ndio msisitizo katika Viroja. Naona kule katika thread yetu na Fredrick Mwakalebela kupata kazi Makumbusho, umetuhama taratiibu!!, wamekufanyia kitu mbaya nini?Napita tu.

Nyani Mpevu
inaonekana comment zangu zinakuchoma sana, na unazifuatili kwa makini.
moja mimi sio CCMUK na hatujuani, unaweza kufuatilia utalijua hilo kama una akili za kutosha.

kusuhu Mrs Mzee yaani Susani alikuwa ze utamu na kashifa chungu mbovu na ninamjua uchafu wake
usikurupuka unajua je kama mimi sijawahi kutumia huo mzigo.
kilichinishitua ni balozi ambaye kapangiwa kituo na kuanza ukwar.e kwa wake za watu tena viongozi wa chama chake

anyway unaweza kuwa na hisia zako unavyopenda ila siwezi kutoa maoni kwenye post na kukaa hapo tumia akili kidogo
 
Kyama kya mapindusi hakina mwema hata mmoja
 
Kuna mwingereza atakupa pesa za bure?

[TABLE="class: Cnvrsn"]
[TR="class: CnvrsnTxt, bgcolor: transparent"]
[TD="width: 46%, bgcolor: transparent, align: right"]250,000.00 USD[/TD]
[TD="class: CnvrsnEq, width: 8%, bgcolor: transparent, align: center"]=[/TD]
[TD="width: 46%, bgcolor: transparent, align: left"]154,016.57 GBP[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]US Dollar[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: left"]British Pound[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1 USD = 0.616066 GBP[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: left"]1 GBP = 1.62320 USD

[TABLE="class: Cnvrsn"]
[TR="class: CnvrsnTxt, bgcolor: transparent"]
[TD="width: 46%, bgcolor: transparent, align: right"]250,000.00 USD[/TD]
[TD="class: CnvrsnEq, width: 8%, bgcolor: transparent, align: center"]=[/TD]
[TD="width: 46%, bgcolor: transparent, align: left"]399,624,000.00 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]US Dollar[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: left"]Tanzanian Shilling[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1 USD = 1,598.50 TZS[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: left"]1 TZS = 0.000625588 USD[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

wewe naona kimekuuma sana sasa hii kitu ndio hivyo kwani umewaambia ccm tz wakasemaje?

jua kuwa wewe ungekuwa mmoja wao ungekuwa unaserebuka kwa kufaraha

sasa as unavyojua style ya siku hizi na wewe kula inabidi ujitumbukize ndani kama jinga mradi tu nawe upewe shares ukiongea sana utazidi simama ulipo

haya ndio maneno yangu

n.b. wote huku ni wajanja wa kula ndio maana wanaingia kwenye vyama miungo etc
 
Hujaacha tu kuwa G..a..y kweli mazoea yana tabu
Nyani Mpevuinaonekana comment zangu zinakuchoma sana, na unazifuatili kwa makini. moja mimi sio CCMUK na hatujuani, unaweza kufuatilia utalijua hilo kama una akili za kutosha.kusuhu Mrs Mzee yaani Susani alikuwa ze utamu na kashifa chungu mbovu na ninamjua uchafu wakeusikurupuka unajua je kama mimi sijawahi kutumia huo mzigo.kilichinishitua ni balozi ambaye kapangiwa kituo na kuanza ukwar.e kwa wake za watu tena viongozi wa chama chakeanyway unaweza kuwa na hisia zako unavyopenda ila siwezi kutoa maoni kwenye post na kukaa hapo tumia akili kidogo
 
wewe naona kimekuuma sana sasa hii kitu ndio hivyo kwani umewaambia ccm tz wakasemaje?

jua kuwa wewe ungekuwa mmoja wao ungekuwa unaserebuka kwa kufaraha

sasa as unavyojua style ya siku hizi na wewe kula inabidi ujitumbukize ndani kama jinga mradi tu nawe upewe shares ukiongea sana utazidi simama ulipo

haya ndio maneno yangu

n.b. wote huku ni wajanja wa kula ndio maana wanaingia kwenye vyama miungo etc

Si kweli

kwanza mimi ni mmoja kati ya CCM UK lakini ujue mpaka nakuja jamvini humu ujue kuwa nimechoka na nawakilisha maoni ya wengi kwani sasa hatujui pa kuelekea

CCM Tanzania wanasema wanafanya uchunguzi

CCM UK mwenyekiti na katibu (Susan) walitoa majibu kuwa tuwape siku 3 wataleta taarifa ya maandishi

tulipokutana wakatuletea taarifa ya maneno

tumeomba msaada kwa balozim akasema atalighulikia mpaka akina Zungu waondoke

sasa cha kujiuliza balozi kashindwa nini kuwaamrisha wale watuletee taarifa ya kimaandishi ili tujue kiasi gani kimeliwa na kama kuna pesa imebaki basi tuzirejeshe kwani zinaweza kusaidia watu nyumbani saidi kuliko kawaida

Mimi ningekuwa nina maslahi binafasi nisinge ileta mada hii hapa ningenyamaza tuu kama wengine lakini kinachouma ni kuwa tunaambiwa kuwa tuvumilie kuna kamati ya uchunguzi itaundwa ili kwenda Tanzania (kwa gharama zetu) kwenda kuchunguza sasa habari iko hapo

kusema ukweli wanachama waliokuwa na habari kuhusu hili suala ni wachache na inasemekana kuwa MAINA OWINO na SUSAN MZEE ndio wanajua mchakati wote lakini wote wamegoma kuitisha vikao vya chama wala kuleta ripoti

sisi hatukuhitaji milioni 300 na ndo maana hata akian Owino walipomfuata mheshimiwa rais pale hotelini walienda kundi kwa sababu walitaka kumwongopea na inasikitisha kuona kuwa hawa kesho watataka kugombea nyadhifa za juu zaidi kule Tanzania
 
Wewe unasema CCM Tanzania ambayo ndiyo makao makuu yenu ya Chama wanafanya uchunguzi sasa unatuletea hapa huo ufisadi wenu na wewe ukiwa mmoja wao sisi tufanye nini?Unatuzungusha hapa na utitiri wa maneno yako na huku, hujatueleza hizo fedha zilifikaje huko UK, kwa ajili ya matumizi gani? Ziliwekwa katika akaunti ipi? Nani msimamizi wa fedha? Ama nani amekabidhiwa hizo fedha? Natumaini majibu yote unayo, kwani umesema katika vikao vyenu kujadili hilo na wewe ulikuwepo hapo, lete habari zenye kina ndiyo tuanze kujadili kwa undani zaidi. Wewe unakuja hapa kuumiza vichwa vya watu kukufikiria wewe yaliyomo kichwani kwako, don't just come here trying to gain a sympathy na sasa thread hii inaanza kuchafuliwa na watu wenye chuki binafsi. Tunapoteza mantiki nzima ya hii thread kutoka kwa Valaza wachache. Hapalaliki hapa mpaka kieleweke.
Si kwelikwanza mimi ni mmoja kati ya CCM UK lakini ujue mpaka nakuja jamvini humu ujue kuwa nimechoka na nawakilisha maoni ya wengi kwani sasa hatujui pa kuelekeaCCM Tanzania wanasema wanafanya uchunguziCCM UK mwenyekiti na katibu (Susan) walitoa majibu kuwa tuwape siku 3 wataleta taarifa ya maandishitulipokutana wakatuletea taarifa ya manenotumeomba msaada kwa balozim akasema atalighulikia mpaka akina Zungu waondokesasa cha kujiuliza balozi kashindwa nini kuwaamrisha wale watuletee taarifa ya kimaandishi ili tujue kiasi gani kimeliwa na kama kuna pesa imebaki basi tuzirejeshe kwani zinaweza kusaidia watu nyumbani saidi kuliko kawaidaMimi ningekuwa nina maslahi binafasi nisinge ileta mada hii hapa ningenyamaza tuu kama wengine lakini kinachouma ni kuwa tunaambiwa kuwa tuvumilie kuna kamati ya uchunguzi itaundwa ili kwenda Tanzania (kwa gharama zetu) kwenda kuchunguza sasa habari iko hapokusema ukweli wanachama waliokuwa na habari kuhusu hili suala ni wachache na inasemekana kuwa MAINA OWINO na SUSAN MZEE ndio wanajua mchakati wote lakini wote wamegoma kuitisha vikao vya chama wala kuleta ripotisisi hatukuhitaji milioni 300 na ndo maana hata akian Owino walipomfuata mheshimiwa rais pale hotelini walienda kundi kwa sababu walitaka kumwongopea na inasikitisha kuona kuwa hawa kesho watataka kugombea nyadhifa za juu zaidi kule Tanzania
 
so far hakuna kinachoendelea

washatumwa wajumbe 3 kwenda Tanzania na susan naye kafiwa na baba yake juzi
 
updates

mnashangaa milioni 300 zimetumwa vipi huku mbona hamjauliza TT zipi zilitumika kufanya hivyo?

lakini watu wameenda Tanzania lakini hawajaleta taarifa zozote za uchunguzi. Lakini imekuwa kama vile kesi ya nyani kapewa tumbili

watu wameamua kuchukua mortgage huko Birmingham sasa hivi
 
CCM wameamua kutaka kuteka watu na kauli za upotevu wa fedha, kwahiyo watazusha habari nyiki ili kuchanganya watu, kesho mje na habari ya makamba kaiba fedha amekamatwa msichelewe sana
 
so far mijengo ishapigwa Jamvi huko Kigamboni...sie tupo tuu tunatazama tuuu
 
ninachoona hapo ni kuwa sisiem hiyo ndiyo alama yake kokote waliko wataonekana tu
 
Pesa hazirudi na baadhi ya watuhumiwa wanataka kurudisha kazi

Tunakuomba Nape upitie hapa UK ili tumalize huli gogoro
 
Wanaendelesa mila ile iliwasinda wengine! CCM Like father like Son. Mijambazi mitupu!
 
Back
Top Bottom